Huu ndio ukomavu wa kisiasa. Mtazame na msikilize Ray Kimbita, aliyekuwa diwani wa kata ya Hananasifu, Kinindoni - DSM

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
Huyu ni Ray Kimbita. Alikuwa diwani wa kata ya Hananasifu, manispaa ya Kinondoni, DSM (2015 - 2020)....

Nimeipenda sana speech yake, na kwa hakika kwa mfumo wa kisheria na kikatiba wa utawala wa nchi yetu, kuwa kiongozi wa kuchaguliwa (mwenyekiti wa kijiji/mtaa, diwani ama mbunge) kupitia chama kilicho nje ya serikali (chama cha upinzani), unahitaji kuvumilia na kupambana kwelikweli....

Ni kwamba, wananchi watateswa kwa sababu yako....

Wananchi waliokuchagua watanyimwa haki zao kwa sababu yako....

Wananchi watanyimwa miradi ya maendeleo kwa sababu yako....

Hata ujitahidi kujiongeza ili kuwasaidia wananchi wahitaji kwa nguvu na ubunifu wako, nako zitafanyika fitna tu ili kuvuruga kila kitu....

Huu ni ubinadamu au ushetwani?? Hivi kumbe "uhaini" dhidi ya ubinadamu unaweza kutendwa hata na viongozi wa serikali wenye mamlaka ya kimaamuzi, eti eeeh....?

Msikilize na wewe...
 
View attachment 1486365

Pongera Ray hakika umepambana sana.
 
Back
Top Bottom