Huu ndio uhuni ambao unafanywa na watu wa mwenge

uzio usio onekana

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
776
2,404
mtu ukisha zoea kuongea uongo basi tegemea kupata matokeo ya uongo.

kwa sababu saizi serikali wameona watu hawana shida na mwenge na wala hawaufuatilii wameamua kuja na maigizo. kwa sababu kila sehemu wakienda maelezo yao yanafanana wakienda sehemu utasikia wanenda kuzindua mwenge.mara wataenda sehemu nyingine watakuambia mwenge utalala hapo. na wakienda sehemu nyingine utasikia wameenda kuzindua vitu flani.

lakini hapa kwenye kuzindua vitu nimeona ndio kuna uhuni mwingi wanaufanya.
kwasabsbu
zimepita kama wiki mbili hivi nilipita sehemu flani hivi nilikuta wanazindua bomba la maji. lakini juzi tena nimepita lile eneo nimeona kwamba lile bomba halijawahi kupitisha maji wala nini na ukijaribu kulianga lile eneo halina dalili zote kwamba maji yamewahi kutoka ila
walicho fanya pale wameweka koki tu.

Mwenge.PNG
 
Sijaona faida ya mwenge kwa wakati huu..mana navyofahamu lengo lake lilikua ni kuleta amani,uhuru na umoja ndani na nje ya nchi..baada ya uhuru..

Kwasasa ungepumzika tu mana amani,uhuru na umoja tunao tayari.
 
Huwezi amini kumbe michango ya mwenge bado ipo, juzi kati kuna mtendaji wangu wa kata alikuja kunichangisha ofisini kwangu Tsh. 5000. sikumlipa ila nilijiuliza sana ni wapi serikali yetu inakwama?
 
Back
Top Bottom