Huu ndio mwisho wa Mkuu wa mkoa wa Bongo

Huu ndio mwisho wa Mkuu wa mkoa wa Bongo

Salimiaga classmates. You may need them as witnesses one day when things turn Bashitestic
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kaenda Bungeni kujikosha na akiwa ana majibu ya maswali gani atakayo ulizwa ni sawa na upewe majibu ya mtihani wakati mtihani ni saa hiyo hiyo utafaulu tu ukiangalia alivyoingia pale alikuwa anatabasamu yaani haogopi lolote kwani baba kashamwambia usihofu kujiibu lolote hufanywi kitu ! Utasikia wabunge na kisomo chao eti tumemsamehe hakumaanisha maneno yale ila alipandikizwa na vyombo vya habari ! Ukibebwa bebeka acha mdomo b.a.s.h.t.e
 
Back
Top Bottom