Anafanya u-defaoAnafanya biashara ngapi ?
Kwa kuwapumulia?Diamond anawaharibu sasa hawa watoto..!
Kupiga nae story tu bila wasi wasi, hawa waliobeba joka la kibisa wanapenda story zetu wakina dada sana tu.
Sample ya wanaume wa Dar..
Anafanana na Grace wa Sinza kijiweni
Ukija kutahamaki bidhaa katika dressing table yako havionekani uje utuambie hawa watu khatari sana.Kupiga nae story tu bila wasi wasi, hawa waliobeba joka la kibisa wanapenda story zetu wakina dada sana tu.