Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Supra-Complex Wealth Looting Syndicate. Ndiyo tafsiri yangu kuhusiana na kundi hilo baada ya kusoma posts hizo hapo juu.
 
Unfortunately you can't work mechanically while legal contracts still hold the outcome of any decision. Tusiongee kishabiki
 
Kumbe technically upo technical kweli kweli. I salute for you. Ndo naanza kuelewa ndo maana sikuhizi nimekonda sana, yaani nipo kama naumwa, kumbe ni mawazo tu yanamkondesha maana hajui kesho siku itaamuka amevurugwa au la? Dah hawa watu ni kheri hata wakifa waende motoni
 
Nyerere aliona mbali sana sana!
 
Hivi ktk afrika hii unaweza ukamtisha rais wa nchi? Mtu anayezungumza na kupanga vita akiwa na mkuu wa majeshi? NO! usiwape kichwa. Ktk utawala uliopita, walidekezwa. Kwa sasa wanajipanga tu kujisogeza ili wafahamike, lakini nadhani umeshajionea dalili mbaya. Huu siyo utawala wa kufahamika au kuwa na simu ya rais mfukoni.

Kama rais akiamua, wote hao unaoamini ni wakubwa, utashangaa wanatafuta mpaka wa kupitia. Rais wa afrika hawezi kukimbia nchi ya wafanyabiashara, labda yule mzembe aliyesema wana nguvu kweli kweli! kumbe naye akiwemo.
 
Duh hii syndicate hii...
Humo pana mkono mrefu hata magu atii mkono humo.
Nadhani kama kuna ushauri, msaidieni rais kupambana na hawa watu. Tatizo wengi tumeshaamini huo ni umwamba na hata tunavyoandika ni kama tunawasifia watu wa aina hii kwamba hawagusiki. Hatuonyeshi hasira zetu juu ya aina hiyo ya upuuzi na badala yake ni kama tunamzomea rais aliyeko madarakani, wakati tukielewa yote hayo yametengenezwa wakati wa utawala uliopita.
 
Umeongea kizalendo sana naona unaipenda nchi yetu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…