Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Waibe tu sioni cha maana kwenye hii awamu.Kamueni kabisa na endeleeni kumsifia mtukufu ndiyo furaha yake.Fadhilini warsha,semina,reflector za toyo n.k hakuna namna pigeni pesa achaneni Na mashkoro mageni.Amewakuta town bado mshamba. Ni hayo tu.
Go SIMBA TRUST go..
 
Mimi Hapa sioni shida!! Huu ni uwekezaji ambao umetoa ajira, Unachangia pato la Taifa na Mengine Mengi!! Kama mimi nikiamua kukopa hela na kuanzisha kiwanda na kikawa successful nitakuwa ni Mhujumu? Watanzania tufikirie in three dimension!! Kama Taifa ni muhimu kuwa na wawekezaji ambao watalipa kodi na kutoa ajira!! Kama serekali imeona kuna kitu wamekosea wahojiwe na mara nyingi ni ukwepaji kodi walipe ila sioni tatizo watu kujiunga na kutoa ajira kwa raia wenzetu
 
Si uviclarify and point them out badala ya kusema tu juu juu
Hii tabia ya kukanusha mambo bila kuweka ukweli unaufahamu ili tulinganishe si sawa kabisa na si ustaarabu hata kidogo. Kuna mjumbe humu alileta madai kuwa polisi ajira mpya hawajapewa posho wala mshahara. ....baadhi ya binadamu humu walikanusha, lakini wahusika wenywewe walithibitisha kuwa ni kweli hawajapewa chochote.
 
Mtandao mzito sana huo.. Hata angeingia Hasheem Rungwe asingeugusa.. Wanajijenga wawe kama Rothschild's
Mtandao mzito sana huo.. Hata angeingia Hasheem Rungwe asingeugusa.. Wanajijenga wawe kama Rothschild's wa UK au Rockefeller's wa US.. Hata kuoleana wanaoana wenyewe..
 
Watanzania nawakubali kwa kulalamika bila kuchukua hatua zozote yaani ni sawa na kubakwa huku ukijua kabisa unabakwa huku ukifurahia tendo,

Raha sana waacheni wawa fundishe jinsi ya kuishi!


Hawa Simba Trust hawajaletwa na CCM watu wafanye kazi!
 
Mleta mada ni mnafiki sana. Nyie mnatumia hisia badala ya kuweka documents. Sasa mnamsakama JK wakati huo huo mnasema alikuwa rais bora, so which is which?? Mwacheni JK apumzike!
Mudawote, haya ni maslahi ya taifa. Haipaswi kusafisha watu individual ili kufunika kombe. Humu wachangiaji wengi hawana vyama ila kila wakienda against chama tawala au baadhi ya viongozi wa serikali basi wanaonekana ni Chadema na wala siyo hata vyama vingine.
Kuhusu Simba Trust, ujue siyo watu wa TIS tu ndo wamefundishwa jinsi ya ku hack mitandao ya watu. Kuna watoto wengi wa kitanzania wanauwezo wa kufanya hivyo. Wengine humu nchini, wengine nje ya nchi. Wanaona kinachoendelea. Watu wananyamaza sababu wanaprotect ndugu zao waliopo vijijini na makazini
Nafurahi unapenda chama chako ambacho sisi wengine labda ni kati ya waanzilishi baada ya Tanu na Afro kuungana. lakini kadiri muda ulivyoenda tulijikuta hatuendi tulivyoanza ndo tukaacha siasa. Mimi sina chama na sitegemei kununua kadi ya chama. Tulikuwa tunalazimishwa kujiunga na Tanu tangu tukiwa wadogo hivyo siasa ilikuwa sehemu ya maisha. Sasa hivi ni uchaguzi hivyo nyinyi wenye uchaguzi endeleeni ila usimchukulie mtu anayekosoa utendaji wa mahali fulani kama ni chadema tu au mfuasi wa Lowasa. Kama tulivyoona wakati wa kuteua majina, kama jina la Lowasa lingepita, sidhani ungekuja na majina yote unayompa. Mtu hajawahi pelekwa mahakamani na sijui kwa nini sababu ni chama tawala hicho kinachomtuhumu kama fisadi. Badala ya kushinda mitandaoni unatetea watu wabovu, fungua kesi mahakamani kumshitaki Lowasa na watu ambao unadhani wameifikisha nchi hii hapo ilipo. Wewe kwa nafasi yako una uwezo wa kusikilizwa na kesi haitachukua muda, Lowasa atafungwa na atafilisiwa na nchi itakuwa salama. Kwa hili la Simba trust mpaka tujue ni nani mmiliki wake hatutaki utetezi, yatatajwa majina na tunataka wanasheria wa wahusika wajitokeze wapinge haya kama si mahakamani basi hata in public. Naomba mudawote unielewe mimi na siasa mbali mbali nimepitia huko nimestaafu ila nataka ukweli.
 
We dada uongo wako pelekea watoto wako sisi humu ni watu na akili zetu sio za kushikiwa
 
Fisadi namba moja ni yule alietajwa na slaa mwembe yanga,lakini pia alitajwa na lema,msigwa bila kumsahau dogo mnyika hapa ushahidi upo wazi kupitia watu hao,ila we mleta mada hakuna ushahidi wa ulichosema hapa,zaidi naona unafki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…