Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Kiongozi ni wanyonge wapi anaowatetea? Amewanyima watoto wao ajira, amekataa kuwapandisha vyeo /madaraja, hakuna nyongeza ya mishahara huku mfumuko wa bei ukiwa juu. Hospitalini hakuna tiba, elimu imedorora. Maskini wapi anaowatetea ?
Umemaliza.....kazi yake nzuri ila hayo ndo malalamiko huku mtaani
 
Hamna ushahidi wa moja kwa moja!

Kama ushidi upo nendeni mahakamani mkawashtaki

Tofauti na hapo huo ni wivu wa kike
 
Simba trust ni nini na inajihusisha na biashara gani?
 
Acha Uongo Wewe Hata kuongopa hujui?sometimes muogopeni na mungu unapata faida gani kutunga Ngojera hii?Ndio maana JF inaiitwa Great thinker Jaribu kuwa kwenye Mstari usipotoshe umaa na Ulicho comment 99%Uongo na uzushi
 
Yaaaah jpo mm mzalendo lakin kwa hli HAPANA!! hii n sawa na kusema "eti" Ridhiwan ana miliki kampuni ya mabasi ya RATCO, lake oil, estim construction, majengo ya machinga complex, PSPF twins tower cjui nn na nn !! Wakat ushahidi huna !! Kama kweli unajua tuambie cyo kukaa na "kukisiakisia". tuu !! Hatutaki huu Upuuzi [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]



~Cmb
 
Nchi hii inaliwa badala ya kudhibiti walaji tunadhibiti wanaowafichua walaji

Ukifichua madhambi unawekwa rumande kama huna ushahidi kwani unachafua jina la mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…