Huu ndio mjengo wa Rais wa Zimbabwe Mugabe.. Shuhudia hapa

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
[h=3]
220px-Mugabecloseup2008.jpg
[/h]

kuna watu wanaishi na wakina sisi tunawasindikiza ila tutafika tu
 
Hili jengo kila uchaguzi wa Zimbabwe ukikaribia linawekwa kwenye mitandao na kuwadanganya watu kuwa ni la Mugabe.

Siasa za Zimbabwe bana kama BAVICHA!!!

Mara watu wanyang'anywe redio, mara picha feki...
 
Kumbe aina ya umasikini wa Zimbabwe na Tz unafanana. Yaani haufiki kwenye nyumba za viongozi na maisha yao ka ujumla.
 
Hili jengo kila uchaguzi wa Zimbabwe ukikaribia linawekwa kwenye mitandao na kuwadanganya watu kuwa ni la Mugabe.

Mara watu wanyang'anywe redio, mara picha feki...

Ukiwa unabisha onyesha evidence, haya hiyo unayosema ya Mugabe ikwapi tuione? Au umeamua kutapika kisa umeona konokono kakatiza
 
Hizi picha nakumbuka zilisambazwa tukiambiwa zilikuwa za mjengo wa Manji... And nw ni mugabe.

Tusubiri mwingine!

Sent from my fingertips using JamiiForums
 
Nchi & vyote viujazavyo ni mali ya Bwana.
Tutakufa tutaviacha
Weka Hazina yako Mbinguni ambapo Nondi
hazita haribu .
 
Mwache afaidi...wenzake wengi wameishakufa...kama vile.. Kenyatta, Lumumba...Nyerere...Nkurumah..Haile Selasie..nk yeye tu amebaki kutuletea habari.
 
Mwache afaidi...wenzake wengi wameishakufa...kama vile.. Kenyatta, Lumumba...Nyerere...Nkurumah..Haile Selasie..nk yeye tu amebaki kutuletea habari.

Nimeipenda sana yeye tu kutuletea habari. ... lakini pia kupeleka habari kwa Masela wake hali halisi ilivyo AFRICA.
 
Hili jengo kila uchaguzi wa Zimbabwe ukikaribia linawekwa kwenye mitandao na kuwadanganya watu kuwa ni la Mugabe.

Siasa za Zimbabwe bana kama BAVICHA!!!

Mara watu wanyang'anywe redio, mara picha feki...

Great thinker,...good mkuu
 
Mkwe***************re anataka ashindane nae na hata kumzidi.
 
Ukiwa unabisha onyesha evidence, haya hiyo unayosema ya Mugabe ikwapi tuione? Au umeamua kutapika kisa umeona konokono kakatiza

na wewe acha ubishi.hili jengo lilishawekwa hapa mwakajana na kutolewa ufafanuzi wa kutosha.acha siasa za majitaka kama mwingulu.period!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom