Huu ndio mchezo wanaochezewa UKAWA

Huu ndio mchezo wanaochezewa UKAWA

Joblube

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
369
Reaction score
151
Habari kutoka jikoni zinasemakuwa mchezo umesukwa kiustadi kuhusu BVR kwa lengo la kuwapumbaza UKAWA.Inaelezwa lengo la usajili wa mfumo wa BVR si kuwa utumike kwenye uchaguzi ujaobali ni ucheleweshaji wa makusudi kwa lengo la kurudi kwenye daftari la zamani,inaelezwa itakapo fika karibu na uchaguzi tume itaseme muda hatoshi hivyo nibora kuboresha tu daftari la zamani. Mtonyaji anasema hapo ndipo UKAWA watakapopigwabao la kisigino.
 
UKAWA ni wananchi nasidhani kama ukawa wanaweza kukubali mchezo wa kijinga namna hiyo
 
Ccm wamesha shindwa kila upande. Mbinu zinesha kwama Zote. Wanahaha tu sasa kama ntwtea anae taka kutaga
 
kivipi watapigwa goli la kisigino wakati wote wataandikishwa kwenye mfumo wa zamani na wanachama wa ukawa na wasio ukawa wataandikishwa!
 
Ukawa kwa sasa hata mkiona miale ya jua mtajua risasi za moto poleni sana.
 
Habari kutoka jikoni zinasemakuwa mchezo umesukwa kiustadi kuhusu BVR kwa lengo la kuwapumbaza UKAWA.Inaelezwa lengo la usajili wa mfumo wa BVR si kuwa utumike kwenye uchaguzi ujaobali ni ucheleweshaji wa makusudi kwa lengo la kurudi kwenye daftari la zamani,inaelezwa itakapo fika karibu na uchaguzi tume itaseme muda hatoshi hivyo nibora kuboresha tu daftari la zamani. Mtonyaji anasema hapo ndipo UKAWA watakapopigwabao la kisigino.
Kitu mnachonichekesha ikitokea mnapiga story zenu hapo bawacha ndiyo mnafanya habari.
 
Huo mchezo wa kitoto tena wa kombolela, naona ccm wamejiandaa kuvuruga aman ya nchi hii,
Wakitumia daftar la zaman kwa maana hiyo mamilion ya vijana waliotimiza umri wa kupiga kura hawatapiga, walikufa nao watapiga kura
Serikal ya kichovu hii.
 
he ndio hivyo, bora umetufungua mawazo tuanze kuwa makini
 
Mkuu kwanza za siku tele upo?

Ukawa wanajichezea wenyewe na uroho wao wa madaraka na kutaka wapate vya haraka hata kama hawastaili.

Nipo Mkuu wangu.
Hawa UKAWA ni wa kuwatazama tu. Wanadhani Ikulu inaingilika kirahisi bila vigezo stahiki. Mwaka huu ndio mwisho wa hako kagenge chao cha kihuni.
 
Mkuu kwanza za siku tele upo?

Ukawa wanajichezea wenyewe na uroho wao wa madaraka na kutaka wapate vya haraka hata kama hawastaili.

Ni nani hasa mroho wa madaraka kati ya aliye madarakani na hataki kutoka au asiye madarakani na anataka kuingia????
nb lengo la chama cha siasa chochote ni kuunda serikali ama kutawala nchi
 
Habari kutoka jikoni zinasemakuwa mchezo umesukwa kiustadi kuhusu BVR kwa lengo la kuwapumbaza UKAWA.Inaelezwa lengo la usajili wa mfumo wa BVR si kuwa utumike kwenye uchaguzi ujaobali ni ucheleweshaji wa makusudi kwa lengo la kurudi kwenye daftari la zamani,inaelezwa itakapo fika karibu na uchaguzi tume itaseme muda hatoshi hivyo nibora kuboresha tu daftari la zamani. Mtonyaji anasema hapo ndipo UKAWA watakapopigwabao la kisigino.

Mkuu, nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Jamaa wanaelewa kwamba toka uchaguzi uliopita na hadi mwaka huu, kuna kundi kubwa la walioluwa na umri wa kati ya miaka 13 hadi 17 ambao sasa watakuwa na miaka kati ya 18 na 22. Hilo kundi jipya la vijana bado si wapiga kura mpaka waandikishwe. CCM inawakwepa hawa maana wanajua fika hiki ni kizazi anti-ccm.
Watabaki na wazee vijijini wanakogawa kanga, fulana, na kofia. UKAWA itakuwa kwenye njia panda. Ili hao vijana hao wandikishwe itabidi uchaguzi usogezwe mbele.
 
Habari kutoka jikoni zinasemakuwa mchezo umesukwa kiustadi kuhusu BVR kwa lengo la kuwapumbaza UKAWA.Inaelezwa lengo la usajili wa mfumo wa BVR si kuwa utumike kwenye uchaguzi ujaobali ni ucheleweshaji wa makusudi kwa lengo la kurudi kwenye daftari la zamani,inaelezwa itakapo fika karibu na uchaguzi tume itaseme muda hatoshi hivyo nibora kuboresha tu daftari la zamani. Mtonyaji anasema hapo ndipo UKAWA watakapopigwabao la kisigino.

Ukishajua silaha ya ADUI ni rahisi sana kummaliza...Hata wakifanya manual bado muda ni mchache mno kuandikisha watu.Siyo rahisi kihivyo.Lakini itakavyokuwa tutaenda tu kujiandikisha wala haina shida wasiwasi wa nini?
 
Habari kutoka jikoni zinasemakuwa mchezo umesukwa kiustadi kuhusu BVR kwa lengo la kuwapumbaza UKAWA.Inaelezwa lengo la usajili wa mfumo wa BVR si kuwa utumike kwenye uchaguzi ujaobali ni ucheleweshaji wa makusudi kwa lengo la kurudi kwenye daftari la zamani,inaelezwa itakapo fika karibu na uchaguzi tume itaseme muda hatoshi hivyo nibora kuboresha tu daftari la zamani. Mtonyaji anasema hapo ndipo UKAWA watakapopigwabao la kisigino.

Yana Mwisho....wataondoka tu siku moja
 
Habari kutoka jikoni zinasemakuwa mchezo umesukwa kiustadi kuhusu BVR kwa lengo la kuwapumbaza UKAWA.Inaelezwa lengo la usajili wa mfumo wa BVR si kuwa utumike kwenye uchaguzi ujaobali ni ucheleweshaji wa makusudi kwa lengo la kurudi kwenye daftari la zamani,inaelezwa itakapo fika karibu na uchaguzi tume itaseme muda hatoshi hivyo nibora kuboresha tu daftari la zamani.

Habari iz zitakuwa za kweli kama wiki mbili iv nilisikia toka mtu mhim sana. Tangu sasa the time will tell. Wapinzani lifanyieni kazi ilo.
 
Back
Top Bottom