huu nao urembo...?

Nilimuona Mh Mchungaji mama *****************akiwa ameutinga mimbarani
 
Mhhhhhhhhhhh bonge la ubunifu akina dada washindwe wenyewe tu kila siku vitu vizuri vnabuniwa kwa ajili yao.
 
Huyo aliyebuni angepewa fursa na vitendea kazi angefanya mambo mazuri sana basi tu vitu vyetu huenda hovyo hovyo
 
Ubunifu mwingine ni kazi kweli kweli ila ukiendelezwa unaweza kuleta mafanikio hasa kipato na ajira!! Kila waste siku hizi ina kazi!!
 
Sasa ndio nini tena? Sio lazima kupost kila kitu. Ni ushauri tu.
 
Watoto watakakosa vifaa vya kutengezea ndita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…