Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,484
- 14,009
Halafu likimuangukia anasema mipango ya MUNGU.Mwanza maeneo ya Shinyanga na Iringa Dodoma sehemu baadhi Tanga milimani kule Lushoto ndio kuna hio mimawe imejikalia tu wewe unaenda kujenga kibanda chako chini ya jiwe unatafuta nini?
Acheni kuwafokea. Jalini maisha yenu.Mwanza maeneo ya Shinyanga na Iringa Dodoma sehemu baadhi Tanga milimani kule Lushoto ndio kuna hio mimawe imejikalia tu wewe unaenda kujenga kibanda chako chini ya jiwe unatafuta nini?
Wewe tenaHakuna kitu kinaweza kutokea hapo coz hiyo image ni AI content.
Angalau wewe una uwezo wa kufikiriNachojua kuwa Hakuna jiwe litakalosalia Juu ya jiwe.
Jiwe linawakillisha uzito(ugonjwa Tatizo)
Mti (Waganga /utabibu)
What do you mean by that?Wewe tena
Labda tusubiri ushuke kwanza then tutajua ikiwa unaweza kuzuiliwa na huo mti 🐒Huo mwamba kiasili naona hauwezi kushuka.
Na ikiwa utashuka je unaweza kuzuiliwa na huo mti?
Ukifikiria Kwa upana nimeacha ujumbe pale.ila wewe unaona picha kwamba sio halisi ni AI😊What do you mean by that?
Mwamba kiuhalisia una uzito wa Tani ngapi?Hauwezi kushuka kwani huo mti utakuwa na kazi gani? mti utafanya kazi yake ya kuzuia
Kwahiyo aliyeweka huo mti hana akili?Mwamba kiuhalisia una uzito wa Tani ngapi?
Na huo mti unafit kuzuia huo mwamba?
Ni Nyenzo sahihi ya kuzia huo mwamba
Hii ndio maana ya ''Wewe tena?''Ukifikiria Kwa upana nimeacha ujumbe pale.ila wewe unaona picha kwamba sio halisi ni AI😊