Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,439
- 3,199
Lazima wafelisema kishwahili nikigumu mno hata mimi kuna mda huwa nachanganya herufi ila sio "huu mwaka nilipigika" kwahiyo haujui kutofautisha wakati uliopo, uliopita na ujao?
usikute na wew huwa unawasaidia watoto kufanya "home work"
Weekend hii uko wapi?sema kishwahili nikigumu mno hata mimi kuna mda huwa nachanganya herufi ila sio "huu mwaka nilipigika" kwahiyo haujui kutofautisha wakati uliopo, uliopita na ujao?
usikute na wew huwa unawasaidia watoto kufanya "home work"
Nadhani anamaanisha wangalia Azam ndio wamepigikaKwahiyo hapo ndo umepigika?!
nipo nyumbaniWeekend hii uko wapi?
Acheni kabisa nlishindwa kuwa nalipia DSTV Explorer. Nikajikuta nami naanza kuangalia king'amuzi cha Azam.
Jambo hilo nlisema halitatokea tena. Nikapata kazi nikaanzisha na biashara. Mwaka huu natumia DSTV EXPLORER sitaki tena Uswahili swahili.
Ile decoder nliiipasua pasua sinze then na dish lake kugeuza karai. Sitaki kumbuka hizo nyakati.
Waoh,safi sana 🙏,unazidi kunimaliza tu ktk angle ya kukuelewaanipo nyumbani
"Winnyyyy ....yo my number one"🎵🎵🎵nipo nyumbani
😅 ila watuWaoh,safi sana 🙏,unazidi kunimaliza tu ktk angle ya kukuelewaa
Hahahahataja channel 4 tu zinazokufanya ulipie DSTV EXPLORER, usikute umemsikia shemeji yako akiongea asubuhi ukiwa bado umejifunika shuka kwenye kochi
unataka tuharibu uzi wa watu sasa🤣🤣🤣,,,"Winnyyyy ....yo my number one"🎵🎵🎵
😁
hahahataja channel 4 tu zinazokufanya ulipie DSTV EXPLORER, usikute umemsikia shemeji yako akiongea asubuhi ukiwa bado umejifunika shuka kwenye kochi
Nifanye Rafiki, kukuelewaa na kukubali ni kosa😅 ila watu
Twende kwenye ule uzi wetu pendwa , tumuache bwana Tresor Mandala akibadilisha chanel za zbc aaongalie vpind vya madrasa😁unataka tuharibu uzi wa watu sasa🤣🤣🤣,,,
my no one zipo nyimbo nyingiiii sijui wew umemaanisha upi
hapan sio kosa kabisa,Nifanye Rafiki, kukuelewaa na kukubali ni kosa
hahahah saw niite nitakuja maan mi siuoni saiv 😇Twende kwenye uzi wetu pendwa , tumuache bwana Tresor Mandala akibadilisha chanel za zbc aaongalie vpind vya madrasa😁