Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,622
- 31,135
Kwan wakuu munahisi kuwa na bajet kubwa ya kijeshi ndio kunakufanya ue imara kwa nyanja za kijeshiDaah angalau kidogo mkuu wewe umejadili kwa hoja zenye mashiko yani umu ndani kuna watu wana maajabu mno yani wanapenda sana kuleta mambo ambayo hayapo yani unailinganisha USA na CHINA kijeshi daaaj maajabu haya yani CHINA na RUSSIA zikiunganisha budget zao za kijeshi bado haziifiikiii ata nusu ya budget ya jeshi la USA alafu leo hii mtu from no where yani anakuja tu anaanza kuongea ongea mambo ambayo hayaeleweki ipendeni CHINA lakini ongeeni ukweli halisi na jinsi uhalisia wa no ulivyo!!
Ndege ya gharama kubwa ya kijeshi ya US iliangushwa na mfumo wa ulinzi wa IRAN ambayo katika masuala yake ya kijeshi bajeti ya ulinzi 2 wa US wanaweza wakailisha IRAN hata miaka elf 1 ila wakaonesha ukomavu kwenye nyanja ile
US Anaweza akawa anatumia gharama kubwa mnooo kwamasuala ya kijeshi ila akawa anatengeneza zana zakawaida sanaa ukilinganisha Na CHINA Mnayo Idharau