BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,020
- 8,480
Wa kawaida sana, ukilinganisha na wababe wenzake kama USA na RUSIA... ila kwetu huku huo ni mziki haswaaa ... ambao hatuwezi kuucheza
Huwa nawashangaa sana wabongo mnavyowadharau wachina, sio katika bidhaa au vifaa vya kijeshi!!! Marekani ana kitu gani anatengeneza ambacho mchina hatengenezi? Lakini kuna vitu mchina anamake marekani hatengenezi....Mchina yuko juu bwana! Nyie wabongo endeleeni kunywa kahawa na kashata! Haya mambo hamuyajui