Huu Muziki wa Kijeshi wa China siyo mchezo: China sasa hivi siyo ya kuchezewa wako fiti

Mkuu:
Hiyo ni kweli, kuna ushahidi mwingine huu hapa;
The current fastest Train speed in the World is 267.8mph approx.(431.158kms/h)
Shanghai MAGLEV in China. Operates between Long Yang Road to Pudong Intl. Airport.
 
Kweli kaka
Kwa mfano Metro Rail-Subways na Flyover highways, Underground tunnels, alizokuwa nazo China kwenye miji yake mikubwa kama vile Shanghai, Beijing, Shenzhen, Chongqing etc ni za kisasa zaidi kuliko zilizoko katika mji wowote wa Marekani.
 
Mkuu:
Hiyo ni kweli, kuna ushahidi mwingine huu hapa;
The current fastest Train speed in the World is 267.8mph approx.(431.158kms/h)
Shanghai MAGLEV in China. Operates between Long Yang Road to Pudong Intl. Airport.

Hiyo Magnetic Train ambayo mchina anayo, Marekani hana
Kuna Kipindi Jimbo la California lilikuwa kwenye mazungumzo lijengewe reli ya kisasa na mchina
 
Sawaa, anakopi na kukiboresha zaidi...nachompendea mchina anatengeneza kitu high au low quality kwa sisi masikini..kuna engine za magari, mfano mercedes benz, BMW kutoka mjerumani yeye anakufanyia unavyotaka..unataka fake anakufanyia, OG anakufanyia ni wewe tu...hawa ndio wakombozi wetu na sio mabeberu.
 
Umeuwa kamanda
 
Marekani major means of transport kwao ni ndege so reli wanaipa priority ndogo

Mkuu:
Ni vyema ufahamu kuwa Railway Transport Mode ina mchango mkubwa sana ktk uchumi wa nchi yeyote ile duniani, hususan ukizingatia gharama na uwezo wa kubeba mizigo mizito. (Rail ni namba mbili ya kwanza ni Maritime). Hapa haihusishwi na ubebaji wa abiria ambao hauna mchango mkubwa kwenye uchumi kulingana na mchango wako.
Hivyo hayo uliyo yaandika si kweli hata kidogo.
 
Pia angalia China wali-mobilize askari wa ngapi na pia marekani alikuwa na askari wa ngapi katika hiyo vita.
 
Lets assume unapewa option ya kupewa Passport ya China AU ya USA-unachagua ipi? na nini kina influence uchaguzi wako?
 
Lets assume unapewa option ya kupewa Passport ya China AU ya USA-unachagua ipi? na nini kina influence uchaguzi wako?

Mimi Passport ya bongo inantosha mkuu ukiwa bongo unaweza kumiliki ardhi maheka na maheka ukapiga kilimo, ufugaji, ukajenga kijumba chako cha gorofa kadhaa.

SASA HEBU KAJARIBU KUWA NAVYO HIVYO VITU UKIWA CHINA AU MAREKANI UONE KAMA UTAWEZA
 
Ninavyoangalia hivi nakumbuka na sisi tulitoa machuma ya kuruka km 120 tulionekana kama wamarekani kiuwezo,kweli dunia haipo fea.
Machuma yapi bro,?
Sisi missile zetu zinaitwa interstreets badala ya intercontinental unakumbuka yanatoka gongo la mboto linaanguka kisarawe
 
Mimi Passport ya bongo inantosha mkuu ukiwa bongo unaweza kumiliki ardhi maheka na maheka ukapiga kilimo, ufugaji, ukajenga kijumba chako cha gorofa kadhaa.

SASA HEBU KAJARIBU KUWA NAVYO HIVYO VITU UKIWA CHINA AU MAREKANI UONE KAMA UTAWEZA
Jibu swali-Bongo haiusiki hapo-swala hapo ni maisha yenye viwango.
 
Natamani watu wakuelewe kama nnavyo kuelewa mm mkuu ila DAAAAAH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…