Sasa kama anakopeshwa hela na mchina halafu anatumia hizo pesa kwenye jeshi nani mjanja hapo?.
Halafu kitu kingine ujue ni kwamba Mchina akiweka bajeti ya dola 10 basi mmarekani ataweka bajeti ya dola 50 kwa kitu kilekile, siyo kwa sababu cha mmarekani ni kizuri zaidi bali ni kwa sababu cost of production China ni cheap
Nyinyi hamuijui China vizuri, kuna vitu mchina anavyo Marekani hana mfano mmoja ni fast moving trains, yaani kama ile unayotoka beijing mpaka Shanghai kwa masaa matano tu.
Mkuu:
Hiyo ni kweli, kuna ushahidi mwingine huu hapa;
The current fastest Train speed in the World is 267.8mph approx.(431.158kms/h)
Shanghai MAGLEV in China. Operates between Long Yang Road to Pudong Intl. Airport.