Huu Muujiza au Fiksi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu Muujiza au Fiksi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Safari_ni_Safari, Mar 2, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kutokana na kukua kwa teknolojia, kila picha inatakiwa uiangalie kwa makini kabla hujaamini kuwa hivyo ndivyo ilivyo.
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama kuna ukweli wowote katika hiyo picha
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama mtoto tumboni unaweza kuona alama za vidole na unyayo kama hivyo. common observation ni mtoto ku-stretch mguu tumbo likatuna alipokanyaga.
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Kwa ukubwa wa tumbo hiyo mimba itakuwa kwenye hatua za mwisho. Je mtoto anakaaje tumboni katika stage hiyo?
   
Loading...