Huu muonekano wa manesi duh............

Nilikuwa hospitali ya mkoa leo na nikaona kitu kikanikumbusha nilichowahi kuwaza siku moja mbona hawa manesi wa hospitali za serikali hasa wa huku mikoani hawana mvuto hivi! Hivi hawa mabinti wa siku hizi si wanaweza kuwa discouraged na muonekano wao na wasipende kazi hiyo?

Uliona kitu gani mkuu?
 
Uliona kitu gani mkuu?
Yaani katika manesi kama 50 hivi ambao nilibahatika kuwaona hakuna hata mmoja aliyekuwa anaweza pita ukamuangalia mara mbili au ukavutiwa kumuona mwanao wa kike anakuwa nesi siku moja mkuu
 
Uaiombe nesi ainame chini kufunga kamba ya viatu vyake hapo unaweza kupona ghafla
 
Yaani katika manesi kama 50 hivi ambao nilibahatika kuwaona hakuna hata mmoja aliyekuwa anaweza pita ukamuangalia mara mbili au ukavutiwa kumuona mwanao wa kike anakuwa nesi siku moja mkuu

Kwamba wako ugly si ndiyo?
 
Kwamba wako ugly si ndiyo?
Wamechoka haina maana wako ugly ila simply wamechoka........hivi unafikiri kwa nini katika miji mikubwa wanawake wazuri huonekana wako idadi kubwa kuliko maeneo ya shamba? UWEZESHAJI MKUU!
Kwa manesi kiukweli uwezeshaji unakosekana
 
Back
Top Bottom