Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
😁Mtungi uko sawa ila uchumi wako hauko sawa mkuu
Ume sound judgemental.Mtungi uko sawa ila uchumi wako hauko sawa mkuu
Achana nae mkuu.Ume sound judgemental.
Mzani sina halafu nilikuwa naona mambo madogo ila naona kuna watu wanatuchezea sio bureMkuu kwani si kuna namna ya kupima uzito kila unaponunua au?
Inahusiana vipi na uchumi wangu mkuu?Mtungi uko sawa ila uchumi wako hauko sawa mkuu
Tayari kabisaaa . Nafikiri our time is now BabeAchana nae mkuu.
Talaka tayari kwanza au msharudiana?
Huwa inapima wingiKwani hii ni yakupima wingi au ubora wa hiyo gesi?
Huna haja ya kuwa na mzani. Pale pale wanapouza wanapaswa kupima kabla ya kuamua kuchukuaMzani sina halafu nilikuwa naona mambo madogo ila naona kuna watu wanatuchezea sio bure
Daka fursa mkuu, huyu hajamrudia mwalimu😂Achana nae mkuu.
Talaka tayari kwanza au msharudiana?
ahahaaaTayari kabisaaa . Nafikiri our time is now Babe
Ila mlimjaza sumu Sana kijana WA watu.hadi kapata talaka kweli.wanaume WA huku mtafika mbinguni hoooiDaka fursa mkuu, huyu hajamrudia mwalimu😂
Ni maisha pia. Kama mtu ameyataka umafanyaje sasa!?ahahaaa
Pole Sana .kulea watoto bila complete figure ya wazazi pamoja sio Jambo rahisi lakini
Hapa mjini huwezi amini kuni ni ghali kuliko gesi mara miaPikia kuni madam