Huu mtiririko una kasoro mahali

Huu mtiririko una kasoro mahali

Shehe Mwaipopo mmiliki wa makundi ya kigaidi

Kashfa ya shehe wa Dar na utenguzi

Mtangane wa Ostaz Juma na Kishk

Tamasha la bongo fleva

Vituko dhalili vya kukata miuno vya Mwandambo

Speech ya Nchimbi

Hayatokei kwa bahati mbaya haya.. Kuna mkandarasi nyuma yake.. Na anajulikana
Umesahau hotuba ya SIMAI,

Kumbuka na leo kuna mipasho ya UVCCM Kawaida!!

Orodha iendelee mpaka siku Moja joka litoke pangoni
 
Mkuu 'Mshana'. Haya nilikuwa/sijapata kuyasikia toka kwa mtu huyu.

Huu siyo uigizaji; huu siyo ulaghai.

Kama ametumwa kufanya ulaghai wa aina hii, na hao waliomtuma wakafikiri anawafanyia kazi nzuri....

Basi na mimi naanza rasmi kumsikiliza anayosema; maana yanaingia akilini moja kwa moja.

Huyu anazungumzia Tanganyika/Tanzania; na yeyote anayefanya hivyo sisiti kumpa sikio.

Nasubiri sasa azungumzie chama chake, kama kipo.
 
Back
Top Bottom