only83 JF-Expert Member Oct 15, 2010 5,343 2,525 Nov 21, 2011 #1 Kuna msemo ulivuma sana siku za karibuni hasa baada ya Cameron kutoa order ya ushoga....na hii inasemwa kuwa iliwahi kusemwa na JK wakti anafungua bunge baada ya uchaguzi wa 2010 "UKITAKA KULA SHARTI NA WEWE ULIWE" wakuu JE,maana ya msemo huu nini?
Kuna msemo ulivuma sana siku za karibuni hasa baada ya Cameron kutoa order ya ushoga....na hii inasemwa kuwa iliwahi kusemwa na JK wakti anafungua bunge baada ya uchaguzi wa 2010 "UKITAKA KULA SHARTI NA WEWE ULIWE" wakuu JE,maana ya msemo huu nini?
Chatumkali JF-Expert Member Sep 9, 2011 2,037 458 Nov 21, 2011 #2 Ukitaka cha uvunguni sharti.............
M Mkomandaa Member Mar 14, 2011 58 18 Nov 23, 2011 #4 Cha bure alikufa siku nyingi. (There is no free lunch)
G George jonathan New Member Nov 24, 2011 1 0 Nov 24, 2011 #5 Sitaki kukukopesha. Au ni ile aibu ya mwenye nacho kwa yule asonacho.