Huu msemo maana yake nini.......?

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Kuna msemo ulivuma sana siku za karibuni hasa baada ya Cameron kutoa order ya ushoga....na hii inasemwa kuwa iliwahi kusemwa na JK wakti anafungua bunge baada ya uchaguzi wa 2010 "UKITAKA KULA SHARTI NA WEWE ULIWE" wakuu JE,maana ya msemo huu nini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom