Obstruction alifanya refa kumzuia Doumbia kufunga goli la pili akipuliza filimbi filimbi bila sababu yoyote ili Simba isiendelee kupokea kipigo kizito.Ukikubali kwamba aligusana na beki za Simba akiwa ametoka kwenye offside position na kufanya obstruction kwa Rushine ndio kuingilia mpira huko hivyo goli alilofunga sio halali.
Picha inatakiwa ionekana ikiwa mpiga mpira ndio ana release mpira kutoka kwenye mguu wake. Kuweka picha ambayo mpira ambao upo halfway unatukosea sana.soma sheria za offside acha kukurupuka pecome alikuwa offside
VAR sio sheria ya mpira ni watu tu kama wewe wanaongalia replay, Pacome alimu interfere nani? Wakati mpira ulipopigwa na Mzize maxi alikuwa onside position. Pacome alisimama pale pale mabeki na maxi walimpita akiwa amesimama pale ulitaka akimbilie wapii? Alipocheza mpira goli kipa tayari ile offside ya Pacome ikafa. Kwahiyo goli halaliYaani unakuwa sio offside bali unakuwa kwenye eneo la offside? Unapokuwa upo kwenye offside position huruhusiwi ku interfere kwenye move kwani unakuwa automatic offside. Ukifunga kwenye rebound ukiwa unatoka kwenye offside position basi ni offside. Kungekuwepo na VAR huo mjadala usingekuwepo.VAR ingeanzia Pacome alipotoka kwenye offside position na kushiriki kwenye move na kufunga akitoka kwenye offside position.
Kumzuia mchezaji wa timu pinzani asifikie au kucheza mpira kwa kusimama mbele yake bila kuucheza mpira.. Unaangalia kwa mapenzi . Obstruction ipo wazi sana.
Yaani unakuwa sio offside bali unakuwa kwenye eneo la offside? Unapokuwa upo kwenye offside position huruhusiwi ku interfere kwenye move kwani unakuwa automatic offside. Ukifunga kwenye rebound ukiwa unatoka kwenye offside position basi ni offside. Kungekuwepo na VAR huo mjadala usingekuwepo.VAR ingeanzia Pacome alipotoka kwenye offside position na kushiriki kwenye move na kufunga akitoka kwenye offside position.
Hadi wewe Mtani.Sinema zetu. Hakika ni za kwetu
Goli ni offside full stop obstruction ya pacome kwa reuck ni kosa kubwa sema maelekezo
Yote kwa yote TUMEWATAFUNA TENA lengo letu ni kuwatafuna mara 10 mfululizo.Yaani marefa wa leo nikituko tuwaache na kombe lao la ccm
View attachment 3473514
Hii ni clear offside kabisa
Msikile jamaa ana refer sheria za Offside,ukibisha na hapo basi endelea kubisha.Rudia kuangalia. AU hujui kwamba obstruction kwenye mpira ni foul.Pacome aliingilia mpira kwa kum obstruct Rushine.
Kumzuia mchezaji wa timu pinzani asifikie au kucheza mpira kwa kusimama mbele yake bila kuucheza mpira.. Unaangalia kwa mapenzi . Obstruction ipo wazi sana.
Haya msikilize huyu ana refer sheria za Offside.Goli ni offside full stop obstruction ya pacome kwa reuck ni kosa kubwa sema maelekezo
Usinitafutie dhambiOktoba tunatiki
Endeleeni hivyo hivyo na ujinga wenuUkitoka kwenye offside position halafu urudi kushiriki kwenye move ni offside. Hili goli ni offside kwa kanuni za offside. Sheria za offside zimebadilishwa unakuwa offside unapozidi mwili mzima.Pacome alikuwa offside akarudi na ku interfere kwenye move na kufunga.
Kasomea wapi urefaa huyo mhuni au ukijua kuongea unakuwa mchambuzi😁Haya msikilize huyu ana refer sheria za Offside.
View: https://www.instagram.com/reel/DOq_-7eFLzT/?igsh=MWRkemNpb3VieW1icw==
🤣🤣Hadi wewe Mtani.
#Nakusalimu.
pacome amemblock de rouk kwenye njia ambapo alikuwa anaenda kumkaba max so apo inatafsiliwa pacome amenufaika na ile offside aliokuwepoUnapomtafsiri Pacome alikuwa offside ila hakuwa ameingilia mchezo, offside ilikufa mara baada ya Max kuuchukua ule mpira , Pacome angeugusa mpira mda Max ameuchukua ingekuwa offside.
Max kachukua mpira na akasogea zaidi eneo la gori wakati huu tayari Pacome alikuwa nyuma, Max anapiga Camara anaurudisha, so ukitaka kuitafsiri kama ni offside au lah angalia mda Max anapiga mpira Pacome alikuwa wapi.
Mjinga baba yako.Angepiga punyeto asingezaliwa poyoyo kama wewe.Endeleeni hivyo hivyo na ujinga wenu
CCM FCKombe la CCM
First touch ya Maxi inaua nafasi ya awali aliyopo Pacome. Mbona mnakuwa wagumu kuelewa mambo mepesi hivyo? Angalia hili goli la Messi utaelewa.pacome amemblock de rouk kwenye njia ambapo alikuwa anaenda kumkaba max so apo inatafsiliwa pacome amenufaika na ile offside aliokuwepo
Tuseme inshallah makaveli10Sinema zetu. Hakika ni za kwetu