Huu mpapai ni dume au jike?

Hilo Njemba Mkuu!
 
Dume,ufungie gunzi kufufua uzazi wake.
 
Nilikuwa nao wa Aina hiyo unazaa mapapai makubwa na unakuwa mrefu Sana matamu pia
Mkuu mimi nina miche mingine mingi, mmojawapo nimeshaanza kula matunda yake unazaa matunda mengi sana hadi nashangaa. Lakini mwonekano wake ni tofauti na hii niliyopost. Mingine yote inapotoa maua hayawi mengi kiasi hiki, na pia maua ya jike huwa makubwa na machache. Inatokea maua mawili au matatu lakini yanaachana kwa space kwenda juu na yanakuwa makubwa. siyo kama hii midogo midogo mingi. Kwa taarifa nimeshafyeka hiyo miche yote miwili na nimeshapanda mingine inaendelea kupepea.
 
kailima mwenyewe
 
Ungekuwa dume ungekuwa na makende.

Makende yako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…