Huu Mlima wa Kilimanjaro nahisi majirani zetu watauchukua tuu

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
13,962
35,088
HII IMEKAAJE.jpg

Naomba kuwasilisha
 
Mi naona wauchukue tu - Maana hii bodi yetu ya Utalii imelala - Hauutendei haki huo mlima wala mbuga zetu za wanyama. Bora jirani zetu watengeneze pesa - tukiamka kutoka usingizini ndio na sisi tuanze kutengeneza pesa.
 
Back
Top Bottom