Hoja zako nyingi ninazielewa na kuzikubali, mkataba una matatizo mengi, ukisoma hiyo article utaona kabisa mkakati wa UAE wa ku monopolize biashara ya logistics/ bandari, na sisi tunawapa monopoly ya bandari zote, that is a single point of failure.Ndugu mimi ni muumuni wa uchumi huru, serikali za kiafrika zimefeli kuendesha hata mashirika muhimu kwa usalama (mfano nishati). Africa ya kusini wanahangaika na shirika lao (kwangu mimi ni uafrika ndio tatizo). Kuleta muwekezaji bandari ili kuongeza tija kwa nchi hapo hakuna tatizo. Tatizo ni lilelile la muda wote kuwa wawekezaji wa nje ndio jibu letu ( kwa mfano umeona mwenyewe UAE wanatumia kimkakati DPW!) Hiyo mikakati kwa kawaida ni kwa usalama na faida yao kwanza!.
Kama DPW inatumiwa kimkakati, kwanini sasa tuseme wamekuja tu kuongeza tija kwetu? Vipi mikakati hiyo ya UAE ikiwa ni hatari kwetu ( kupoka uhuru wetu?) Kwanini utata huu (ambao hata wewe umewanukuu TLS) usitatuliwe kwanza na mengine mengi yanayopigiwa kelele na wenye nchi (kama KWELI ni wenye NCHI) yasitatuliwe?
Nchi imegawanyika katika hili (na historia ya nyuma ni mwalimu mzuri), kwanini tuende tu na migawanyiko hii? Kumbe Zanzibar ilikosea ila kosa hilo lilikuwa linawapa faida Zanzibar ila hatari kwa muungano! Vipi ikiwa DPW wamekosea ila kosa hilo linawapa faida wao wenyewe na UAE na hatari kwetu, unadhani UAE watakuja ku- claim? (Kumbe ndo ile maana ya hata uhusiano wa kidiplomasia ukiharibika baina ya nchi huu MKATABA hauvunjiki!)..maana siku tukijajua tuliingizwa chaka kuwa Dubai ni nchi na tukaanza kupishana na UAE, mkataba utaendelea kutudunda tu!
Mkuu,Ingeipa mamlaka hua wanaandika kitu fulani kwa niaba ama mfano, ingekuwa UAE kisha pale chini yakawa Dubai.
Mfano:
United Republic of Tanzania
Local Government, Simiyu region.
Ila Hii unaona hata ile heading pale juu siyo UAE bali ni Dubai, kisha dubai anampa mtu mamlaka fulani kusaini. Haya ndo mambo yakutolea ufafanuzi kwa facts.
Uhalali wa Dubai kusaini ndo una establish uhalali wa mkataba, sasa utajua je kama kweli huo mkataba ni halali ama ni kundi la watu wachache kutumia brand ya DP world na Dubai ili kutupiga?
Nashjndwa kuelewa kabisa, kwanini Rais Samia analazimisha hii issue ya bandari..Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
"
Can Dubai on its own enter the intergovernmental agreement ?
No, Dubai, as a city within the United Arab Emirates (UAE), does not have the authority to independently enter into intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE, as a sovereign nation, is responsible for conducting international relations and negotiating agreements with other countries on behalf of all its emirates, including Dubai.
The UAE's federal government, based in Abu Dhabi, is the entity that handles foreign affairs, diplomacy, and the signing of international agreements. While Dubai has some autonomy in specific areas such as economic policies and regulations, matters of international diplomacy and foreign policy fall under the jurisdiction of the federal government.
Therefore, any intergovernmental agreements involving the UAE would be negotiated and signed by the federal government in coordination with all the emirates, including Dubai.
"
Ingekua heri hata wangesaini na Dubai, ukweli ni kwamba mkataba ni IGA ila umesainiwa kati ya serikali ya Tanzania na DP world.. sijui tunaakili gani Watanzania.Inabidi waje waeleze kwanza uhalali wake wa dubai-mkoa ndani ya UAE kuitwa ni IGA. Huwezi ingia mkataba na mkoa na nchi ukaitwa IGA.
DP world ndio tumesaini nao mkataba, hata sio serikali ya dubaiKama katiba yao inaruhusu individual Sheikhdom kuingia mikataba ya kimataifa je?
Dubai is a state, na ina serikali yake Emirate with full powers na Mfalme ni absolute Monarchy, kila kitu kiko owned na Mfalme.Huu mkataba hauna hadhi ya intergovernmental yani IGA kwa sababu Dubai siyo nchi bali ni serikali ya mkoa kama serikali ya mkoa wa Simiyu.
Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.
"
Can Dubai on its own enter the intergovernmental agreement ?
No, Dubai, as a city within the United Arab Emirates (UAE), does not have the authority to independently enter into intergovernmental agreements with foreign countries. The UAE, as a sovereign nation, is responsible for conducting international relations and negotiating agreements with other countries on behalf of all its emirates, including Dubai.
The UAE's federal government, based in Abu Dhabi, is the entity that handles foreign affairs, diplomacy, and the signing of international agreements. While Dubai has some autonomy in specific areas such as economic policies and regulations, matters of international diplomacy and foreign policy fall under the jurisdiction of the federal government.
Therefore, any intergovernmental agreements involving the UAE would be negotiated and signed by the federal government in coordination with all the emirates, including Dubai.
"
Wana Jamii Forums endelea kutuhabarisha na kutuelewesha.Soma yote paragraph ya pili. Nime copy na ku paste swali ktk application hiyohiyo imenipa majibu tofauti, ambayo hapo chini. Hata hivyo , kama una facts zaidi kuhusiana na jambo hilo tupatie tujifunze zaidi.
Can the government of Dubai sign an inter government agreement with foreign countries?
While Dubai has a level of autonomy in certain areas, including economic policies and regulations, the authority to sign intergovernmental agreements with foreign countries lies with the federal government of the United Arab Emirates (UAE).
Dubai is one of the seven emirates that make up the UAE, and foreign affairs, including the negotiation and signing of international agreements, are handled by the federal government based in Abu Dhabi. The federal government represents the UAE as a whole and is responsible for conducting foreign relations and entering into agreements with foreign countries on behalf of all the emirates.
While Dubai may play a role in facilitating and participating in discussions related to specific agreements, the final authority and legal capacity to sign intergovernmental agreements rest with the federal government of the UAE.
Mkuu umeisoma IGA? Page ya 4 mwanzo kabisa?DP world ndio tumesaini nao mkataba, hata sio serikali ya dubai
Kwani ili kitu kiitwe IGA inabidi kiweje kwa uelewa wako?Kwanini huu mkataba wanauita IGA wakati haukidhi matakwa ya kuitwa hivyo? Nasimama kuelimishwa.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku mkigombana na Rwanda kwa Mfano na hapo UAE au Dubai wakaamua kiwasaidia Rwanda still hamuwezi kuwafanya chochote. Inshort wanaweza hata kutumia hizo bandari zenu Kuingiza silaha kwa ajili ya adui yenu and you can't do shit about it.Hivi kwanini hili halitolewi ufafanuzi? Halafu kwenye IGA wameongelea mambo ya kidiplomasia kuharibika, kutovunjika kwa mkataba.
Sasa tunawezaje kuingia mgogoro wa kidiplomasia na jimbo la UAE? Na jimbo lenyewe hatuna mahusiano ya kidiplomasia nalo? Na haiwezekani kuwa na mahusiano ya kidiplomasia na mkoa ndani ya UAE.
Mwenye territory ni UAE. Hivi UAE ikisema huingii Dubai, utaingia?
Je, Dubai inamiliki passport inayotambulika na duniani?
Ukisoma wameuza hadi Anga [emoji23][emoji23] ndio maana ya territoryTushirikiane watanganyika kukataa wazanzibar kuuza bandari zetu.
Kama mkataba ni kwa manufaa kwanini bandari za Zanzibar hazijajumuishwa kwenye mkataba sijui makubaliano haya??
Hakuna mkataba usiokua na ukomo huo ni uuzaji.
Ndio maana yule mburushi akasema Mahakama zetu hazina meno Mahakama na watendaji wake ni vibaraka wa Serikali mbele ya Serikali Mahakama hazina la kusema akitolea mfano Mahakama ya Kisutu ikiwa ni mfano hai wa Mahakama zote, ina maana wanasheria wetu wa ndani hawajaliona hilo au majaji na mahakimu hawajiliona hilo au wanalinda vibarua vyao walivyopewa na Serikali hawataki kutenda kinyume na Serikali hata km wanaona Serikali inakosea au inatenda kinyume na sheria ? Kongole nampa yule mama jaji jina lake limenitokaCan Dubai on its own enter the intergovernmental agreement ?
Kazi kweli kweli...Hivi kwanini hili halitolewi ufafanuzi? Halafu kwenye IGA wameongelea mambo ya kidiplomasia kuharibika, kutovunjika kwa mkataba.
Sasa tunawezaje kuingia mgogoro wa kidiplomasia na jimbo la UAE? Na jimbo lenyewe hatuna mahusiano ya kidiplomasia nalo? Na haiwezekani kuwa na mahusiano ya kidiplomasia na mkoa ndani ya UAE.
Mwenye territory ni UAE. Hivi UAE ikisema huingii Dubai, utaingia?
Je, Dubai inamiliki passport inayotambulika na duniani?
Tatizo sio yeye SSH tatizo ni wasaidizi wake wakiwemo wanasheria wa Serikali kuna mwanasheria Mkuu wa Serikali inamaana unataka kusema kabla haujasainiwa hawakushirikishwa na yeye mwanasheria Mkuu ameukingia kifua huo MKATABA bila kuelewa kua Dubai sio Nchi ni MJI haiwezi kua IGA km Nchi 1 inaingia MKATABA na MJI mmoja wa Dubai inamaana mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuona hayo mapungufu ya mkataba ?Ndio shida ya kuongozwa na mtu mwenye elimu ya kuungaunga! Masijala na mambo gani sijui!
Sasa mkataba ataweza kuusoma na kuelewa kweli!?
Kitanzania washauri ndio wanashauriwa na rais, halafu kauli ya rais haipingwi.Tatizo sio yeye SSH tatizo ni wasaidizi wake wakiwemo wanasheria wa Serikali kuna mwanasheria Mkuu wa Serikali inamaana unataka kusema kabla haujasainiwa hawakushirikishwa na yeye mwanasheria Mkuu ameukingia kifua huo MKATABA bila kuelewa kua Dubai sio Nchi ni MJI haiwezi kua IGA km Nchi 1 inaingia MKATABA na MJI mmoja wa Dubai inamaana mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuona hayo mapungufu ya mkataba ?
404: Page Not Found
Kwa hio unataka kusema walimwambia huu mkataba mbovu alafu yeye saa100 akakomaa kusema niacheni najua ninachokifanya msinipangie cha kufanya mimi ndio rais ? Ndio unamaanisha hivyo ?Kitanzania washauri ndio wanashauriwa na rais, halafu kauli ya rais haipingwi.
Samia watu wa Usalama wa Taifa wamemuendea wakamwambia Mama mwanao anaonekana ana hela nyingi sana, hili kinaweza kuleta matatizo.Kwa hio unataka kusema walimwambia huu mkataba mbovu alafu yeye saa100 akakomaa kusema niacheni najua ninachokifanya msinipangie cha kufanya mimi ndio rais ? Ndio unamaanisha hivyo ?
404: Page Not Found
In theory serikali ya Dubai haiwezi kusaini mkataba wa IGA na nchi ya kigeni bila idhini ya serikali ya UAE (ibara ya 120 ya katiba ya UAE), na mahusiano ya kidiplomasia hapa ni kati ya Tanzania na UAE. Serikali ya UAE itakuwa imeidhinisha mkataba, sema mkataba uko vague ingekuwa vizuri mahusiano ya kidiplomasia yakatajwa kuwa ni kati ya Tanzania na UAE. Peter Madeleka ameongelea hili sana, nafikiri na analysis ya TLS imegusia if I am not mistaken.Hivi kwanini hili halitolewi ufafanuzi? Halafu kwenye IGA wameongelea mambo ya kidiplomasia kuharibika, kutovunjika kwa mkataba.
Sasa tunawezaje kuingia mgogoro wa kidiplomasia na jimbo la UAE? Na jimbo lenyewe hatuna mahusiano ya kidiplomasia nalo? Na haiwezekani kuwa na mahusiano ya kidiplomasia na mkoa ndani ya UAE.
Mwenye territory ni UAE. Hivi UAE ikisema huingii Dubai, utaingia?
Je, Dubai inamiliki passport inayotambulika na duniani?
Kwa hio mzigo huu unamuhusu yeye mwenyewe sio wanasheria wa Serikali, aliwahi kusomea Sheria kwani ?Samia watu wa Usalama wa Taifa wamemuendea wakamwambia Mama mwanao anaonekana ana hela nyingi sana, hili kinaweza kuleta matatizo.
Akawajibu, sasa mnataka nifanye nini? Nimkamate mwanangu?
Watu wa Usalama wakanywea.
Sasa hapo utawalaumu watu wa Usalama?
Huu mkataba umekuwa firced top down, ndiyo maana haujabadilishwa hata nukta.
Hao wanasheria wote wa serikali na maofisa waandamuzi wamepewa amri wapitishe kila kitu kama kilivyo, na hakuna mwenye uthabiti wa kujiuzulu na kusema madudu.