Beef lasagna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 16,717
- 2,000
Siku Hizi Birthday kwa matarumbeta na vijora shikamoo Wanawake wa Dar

Hawa wanaume wa dar wanatuharibia nchiHilo lidada lina kitovu kibaya kama nundu ya panzi. Naona kuna mwanaume wa Dar anapigwa make up
Kero tupu aisee.Hawa wanaume wa dar wanatuharibia nchi
Jiliwaze kwanza na haka kakideo ka tarumbeta
Jiliwaze kwanza na haka kakideo ka tarumbeta
Alafu urudi tuendelee na huu uzi View attachment 1031884
Sent using Jamii Forums mobile app
Du ni hatari,ndio maana tukasema watu wa dar ,alafu kuna watoto hapo,tuendako kunasikitisha.Jiliwaze kwanza na haka kakideo ka tarumbeta
Alafu urudi tuendelee na huu uzi View attachment 1031884
Sent using Jamii Forums mobile app
kasema bathday,,
Ni kweli yaani yaani ni siku ya kuoga,wakisindikizwa na tarumbeta.kasema bathday,,
angewaambia waende na ndoo yenye maji na taulo,sabuni ya kuogea bure
Hilo lidada lina kitovu kibaya kama nundu ya panzi. Naona kuna mwanaume wa Dar anapigwa make up
Hatari SanaJiliwaze kwanza na haka kakideo ka tarumbeta
Alafu urudi tuendelee na huu uzi View attachment 1031884
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mzee upo vizuri..jamaa anachorwa wanjaHilo lidada lina kitovu kibaya kama nundu ya panzi. Naona kuna mwanaume wa Dar anapigwa make up
Salama
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us
Thread starter | Title | Forum | Replies | Date |
---|---|---|---|---|
![]() |
Huu ni mji gani? | Jamii Photos | 18 | |
![]() |
Mji gani huu? | Jamii Photos | 61 | |
![]() |
Huu ndio Mji mchafu kuliko yote Afrika | Jamii Photos | 7 | |
![]() |
Kama Umeshawahi Kufika Angola Huu Mji Unaweza Ukawa Umepita. | Jamii Photos | 35 | |
![]() |
Huu mji nasikia mtamu sana! | Jamii Photos | 5 |