Kamari hyohivi wakuu huu mchezo unaitwaje?
Anashughulikia kesi ya jamaa yake Dr Luis ShikaJoseverest sijui yuko wapi huyu jamaa
Kapata dem sikuhizi kawa mvivu sanaJoseverest sijui yuko wapi huyu jamaa
Kitu American Roulette hiyohivi wakuu huu mchezo unaitwaje?
Hakuna kutupa dice ni kupanga chips katika layout then dealer anaspin the ballKamari ya kutupa dice kamavsikosei
fafanua kidogo mkuu mshindi anapatikanajeHakuna kutupa dice ni kupanga chips katika layout then dealer anaspin the ball
Anashughulikia kesi ya jamaa yake Dr Luis Shika
Hiyo ni game ya kucheza na risasi haina uhusiano na Amrican/French roulette hata kidogorussian roulette
Hakuna mshindi anayetafutwa hapo ila kuna kuwin na kuloosefafanua kidogo mkuu mshindi anapatikanaje
duuuuuKapata dem sikuhizi kawa mvivu sana
uki win inakuaje na uki loose inakuajeHakuna mshindi anayetafutwa hapo ila kuna kuwin na kuloose
Mzee baba ni kamari hiyo ya kizungu...ukiwin unalipwa pesa ukiloose means pesa yako imepoteauki win inakuaje na uki loose inakuaje
hujanielewa mkuu namaanisha masharti yakushinda kwenye iyo kamari yakojeMzee baba ni kamari hiyo ya kizungu...ukiwin unalipwa pesa ukiloose means pesa yako imepotea