Huu mchezo umeleta kizaa zaa kwa mpenzi wangu

tzmuya

Member
Aug 16, 2017
86
26
hivi wakuu huu mchezo unaitwaje?
99efb24125434aafa9c4d036d6f51dcd.jpg
 
Dah inasikitisha pole sana mkuu. Ndio uache uboya siku nyingine usikubali kufanyiwa tena huo mchezo. Pole sana
 
wheel of fortune hiyo

unachagua rangi hela yako unaidouble ukichagua namba moja hela yako inajizidisha Mara 36
 
Back
Top Bottom