Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,559
Halafu utasikia mtu anasema "Usisahau na ya kutolea"
Kama wewe hutumagi ya kutolea kabisaaaHalafu utasikia mtu anasema "Usisahau na ya kutolea"
HahaaaaHalafu utasikia mtu anasema "Usisahau na ya kutolea"
Kuumia niumie na ya kutolea nitume, aah wapiKama wewe hutumagi ya kutolea kabisaaa
😂😂😂😂Halafu utasikia mtu anasema "Usisahau na ya kutolea"
😂😂😂hii michezo mingine ni ya kutangulizana mbele za haki
Mzee Wa watu kashindiliwa konde zito mpaka anatia hurumaDah! Pole mzee, waachie vijana hapo sio kwako. Ona anavyomwangalia kwa huzuni