Huu mchepuko una nia nzuri kweli ?

Kama anautaka u-single mother hamna jinsi maana si anawakataa waoaji anakung'ang'ania Mme wa mtu, sasa ngoja baadae aje kuanza kutoka povu anatafuta Mme akishakuwa single mother ama over 35
 
Mnachojisahau wanaume ni kwamba kuna tofauti sana kati ya wanaume na wanawake ikija kwenye suala la mapenzi... Achana na wale wanaoingia kwenye mapenzi kwa lengo la kujipatia mtaji.

Mwanamke hadi akifikia hatua ya kusex na wewe, jua kwamba umefika moyoni mwake. Ndo mana wanasema mpenzi/mke wako akifikia hatua ya kukucheat basi ujue umeponyoka moyoni mwake. Nyie hua mnachukua maamuzi hayo kwa akili tu. Kama kweli unataka huyo msichana aolewe, inabidi umuache. Kama kakuoenda kweli itakua ngumu kuanzisha mahusiano na mwanaume mwingine. Utampotezea mda na atakuja stuka when its too late.
 
Wnaume wamebakia wachache sana ni sahihi akugande wengi wamebaki vijana wa kibashite
 
nitumie no yake ya cm.mimi taweka sawa na ya kwako siku nikiwa nae ntakupigia uje utufumanie ndo gear ya kumuacha
 
Huyo ni mjanja sana,anakula hela zako kisayansi yaani bila ya wewe kujua kama hela zako zinaliwa!🙂.. .......believe me!
 
Km kila msichana anayemvulia nguo mwanaume anakua ashampenda ...najaribu kujiuliza wanawake wote nliowaahi kutoa nao...HV wote niliwaingia mioyoni mwao kweli.!???...nna shaka
 
Utoto raha sana unajua unakua na hadithi nyingi kichwani za kusadikika ila umri ukifika unapambana na uhalisi ninakusihi usiache kuota hizi ndoto ni umri sahihi.
 
Huyo ni mjanja sana,anakula hela zako kisayansi yaani bila ya wewe kujua kama hela zako zinaliwa!🙂.. .......believe me!

Umesema nilichotaka kusema kwa huyu mtoa mda yan analiwa kiakili tu mwache time inakuja atakuja kuomba ushauri tena.kila mchuma janga ula na wakwao
 
Mkuu wew nunua lain mpya kama unatak kumpotezea
 


Mwanamke akiwa na nia ya kukuchezea akili au kukuharibia ndoa yako atatumia kila mbinu mpaka uingie line. Pole kwa kuwa bado mtoto na hujajuwa mapenzi ya kina Mama yako vipi.
 


Huyu anakuangalia tu mienendo yako, ukimuudhi tu kama hutomwacha mkeo, anakugeuza kuwa msenge....wanawake bwana wewe waone hivi tu....wana roho mbaya hawa wakichukia?
 
yan kimbia mkuu huyo anataka kukuuuaa huyodawa yake ni 1 nipe namba zakee utaona akikusumbua tena wallah
 
Napata shida kuacha ila inanilazim mana wife (japo sijafunga harusi) ni nouma namfaham sana msimamo wake kwenye hili
kama hujafunga ndoa huyo unayemwita mke wako pia ni mchepuko. hivyo una michepuko wawili
 
Sasa mkuu huyo sio mke wangu mimi nakufumaniaje? Wewe oa huo mchepuko acha kupiga soga.
 
Huo mchepuko maji yakundee au VP icje ikawa anakuganda sabab ikawa ni sura kama kohozi!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…