Huu hapa msikiti wa Bikira Maria uliopo Dubai

sasa ubaya uko wapi hapo.Hivi hujui kuwa dini za Uislam na Ukristo zinaitwa dini za Ibrahim.Yaani wote chimbuko lao ni baba yao Ibrahim? Tofauti ilianzia kwa Isaka na Ismail?.
Hivi unajua waislam wanatambua YESU alizaliwa na Mariam na ndio maana anaitwa Issa bin Mariam na wala sio Issa bin Yusuf?
Hivi unajua waislam wanatambua YESU alizaliwa kwa uwezo mama yake aliopewa na mungu na sio kwamba Yusuf alimjua Maria akapata mtoto?.
Usichanganye mafaili dini zote ni ndugu moja.
Kumtaja Mariam sio dhambi
Hivi unajua Jerusalem kuna msikiti wa waislam unaitwa Al aksa?
 
Mkuu anamfundisha samaki kuogelea. Mimi muislamu nayajua yote hayo kuliko unavyo jua wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…