400,000 kutoka GOOGLE
Milion 800 nikadhulumiwa zote.. hela za deal ya petrol..
Deal ya pili nilifoji doc nikapewa tender ya ujenzi wa daraja kama injinia kumbe nimeishia form 4 na ziro nzuri tu.. Nikapewa hela na gari na dereva wa kuniendesha nikapiga zangu Mil 50..







Boss ulipataje huko Google