Nomile
Kwanza kabisa nianze kwa kusema wewe ni mji.nga, msengre.ma na mpum.bavu wa kutupwa.... (Sasa naomba nianze kujibu hoja)...
1. Kipindi Bashe anaingia Habari Cop kama CEO alikuta wafanyakazi hawapati mshahara zaidi ya miezi 4 mpaka 5, leo hii ukienda pale utakuta kila mwisho wa mwezi wafanyakazi wanakenua meno....
2. Bashe leo hii kawawezesha wafanyakazi wote bila kujali nafasi zao kupata mikopo ya magari. Leo hii mpaka mhudumu anaendesha verosa au Rav 4. Hata BOT hawawezi kufanya hivyo...
3. Bashe kipindi anaingia kampuni ilikuwa inachapisha Jamana, ila leo hii kafunga mashine mbili mpya kabisa kwa ajili ya uchapishaji na magazeti ya Nipashe yataanza kuchapishwa hapo Sinza kwa muda kabla mashine yao kuwa tayari...
4. Kima cha chini cha mshahara ni 360,000 Tsh. Huyo ni mfagiaji. Unataka afanye nini jamani, kama sio upumb.vu kuongea vitu usivyovijua....
5. Leo hii wafanyakazi wanakopa banki ya CBA. Ni mara ya kwanza tokea Uhuru kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwa na uwezo wa kukopa benki...
6. Bashe kafanikiwa kujenga majengo mawili yenye ofisi zaidi ya 26 kwa kipindi kifupi alichokaa pale. Ulitaka afanye nini?
7. Ni kampuni hiyo ndio inaongoza kwa kuwa na waandishi wenye ueledi wa hali ya juu kama Msacky na Kibanda. Unataka afanye nini cha ziada?.
8. Bashe kila ijumaa anatoa sadaka wa wahitaji zaidi ya million 1mpaka 3, kama unataka kuthibitisha ijumaa pita pale Sinza kijiweni ushuhudie foleni. Unataka nini cha ziada?
9. Ni kampuni hiyo inayosomesha zaidi ya wanafunzi 400 Tanzania nzima, wengi wao wakiwa wakazi wa Nzenga wasio na uwezo wa kulipa ada. Unataka afanye nini cha ziada kama sio uji.nga wako na upumba.vu wako...
10. Leo hii Habari cop sio ile ya zamani. Amefanya ukarabati ofisi zote, eneo la nje, ukuta nk....
Utachafua watu wote lakini kamwe huwezi kumchafua Bashe, tena una bahati sana, ukiongea hayo maneno mbele ya vijana walahi utapata kipigo cha milele....