lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,200
- 28,082
mkuu hakuna uhusiano wa kutoa msaada kwenye jamii na uongozi...
Nakubaliana nawe..lakini kama mtu ameonesha mfano mzuri kama kuwasaidia watu kupata mishahara minono,kasaidia vijana mitaji,kasaidia watu ada...basi huo ni mfano tosha kwamba anapenda watu na sio mchoyo kwa kile kidogo anachopata...hasa tukikumbuka kwamba mbunge ni mtumishi wa wananchi na sio kiongozi wa wananchi..ni mwakilishi wao..