Hussen Bashe, muasi ndani ya CCM(?)

Hussen Bashe, muasi ndani ya CCM(?)

Nomile

Kwanza kabisa nianze kwa kusema wewe ni mji.nga, msengre.ma na mpum.bavu wa kutupwa.... (Sasa naomba nianze kujibu hoja)...

1. Kipindi Bashe anaingia Habari Cop kama CEO alikuta wafanyakazi hawapati mshahara zaidi ya miezi 4 mpaka 5, leo hii ukienda pale utakuta kila mwisho wa mwezi wafanyakazi wanakenua meno....

2. Bashe leo hii kawawezesha wafanyakazi wote bila kujali nafasi zao kupata mikopo ya magari. Leo hii mpaka mhudumu anaendesha verosa au Rav 4. Hata BOT hawawezi kufanya hivyo...

3. Bashe kipindi anaingia kampuni ilikuwa inachapisha Jamana, ila leo hii kafunga mashine mbili mpya kabisa kwa ajili ya uchapishaji na magazeti ya Nipashe yataanza kuchapishwa hapo Sinza kwa muda kabla mashine yao kuwa tayari...

4. Kima cha chini cha mshahara ni 360,000 Tsh. Huyo ni mfagiaji. Unataka afanye nini jamani, kama sio upumb.vu kuongea vitu usivyovijua....

5. Leo hii wafanyakazi wanakopa banki ya CBA. Ni mara ya kwanza tokea Uhuru kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwa na uwezo wa kukopa benki...

6. Bashe kafanikiwa kujenga majengo mawili yenye ofisi zaidi ya 26 kwa kipindi kifupi alichokaa pale. Ulitaka afanye nini?

7. Ni kampuni hiyo ndio inaongoza kwa kuwa na waandishi wenye ueledi wa hali ya juu kama Msacky na Kibanda. Unataka afanye nini cha ziada?.

8. Bashe kila ijumaa anatoa sadaka wa wahitaji zaidi ya million 1mpaka 3, kama unataka kuthibitisha ijumaa pita pale Sinza kijiweni ushuhudie foleni. Unataka nini cha ziada?

9. Ni kampuni hiyo inayosomesha zaidi ya wanafunzi 400 Tanzania nzima, wengi wao wakiwa wakazi wa Nzenga wasio na uwezo wa kulipa ada. Unataka afanye nini cha ziada kama sio uji.nga wako na upumba.vu wako...

10. Leo hii Habari cop sio ile ya zamani. Amefanya ukarabati ofisi zote, eneo la nje, ukuta nk....

Utachafua watu wote lakini kamwe huwezi kumchafua Bashe, tena una bahati sana, ukiongea hayo maneno mbele ya vijana walahi utapata kipigo cha milele....

ocampo four
simama kama ulivyokua mwanzo endelea kupita kwenye reli, naona kama una "lose tension" punguza ukali wa maneno ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:

Sometime kuna watu wanauzi sana hasa unapogundua wanasema uongo na uzushi ... Ila nimekuelewa Mkuu, I really apologize kwa hili.... Pamoja sana...
 
ocampo four
simama kama ulivyokua mwanzo endelea kupita kwenye reli, naona kama una "lose tension" punguza ukali wa maneno ndugu yangu
Asimame wapi? hana lolote..cjui watz wana matatizo gani, mtu hawezi kabisa kugundua km anachoandika ni ujinga..wanawaza kuwapa dhamana ya uongozi watu mufilisi kabisa, eti kwa vigezo anasaidia kuwapa vijana cjui mitaji, cjui sadaka, yaani hizo ndio sifa za kuwa kiongozi, cjui kusomesha watoto shule..upumbavu kabisa, mtu wa hivyo si aombe kazi red cross au c aende akahudumie wakimbizi dadabu au kigoma..
 
Nomile

1. Kipindi Bashe anaingia Habari Cop kama CEO alikuta wafanyakazi hawapati mshahara zaidi ya miezi 4 mpaka 5, leo hii ukienda pale utakuta kila mwisho wa mwezi wafanyakazi wanakenua meno....

2. Bashe leo hii kawawezesha wafanyakazi wote bila kujali nafasi zao kupata mikopo ya magari. Leo hii mpaka mhudumu anaendesha verosa au Rav 4. Hata BOT hawawezi kufanya hivyo...

3. Bashe kipindi anaingia kampuni ilikuwa inachapisha Jamana, ila leo hii kafunga mashine mbili mpya kabisa kwa ajili ya uchapishaji na magazeti ya Nipashe yataanza kuchapishwa hapo Sinza kwa muda kabla mashine yao kuwa tayari...

4. Kima cha chini cha mshahara ni 360,000 Tsh. Huyo ni mfagiaji. Unataka afanye nini jamani, kama sio upumb.vu kuongea vitu usivyovijua....

5. Leo hii wafanyakazi wanakopa banki ya CBA. Ni mara ya kwanza tokea Uhuru kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwa na uwezo wa kukopa benki...

6. Bashe kafanikiwa kujenga majengo mawili yenye ofisi zaidi ya 26 kwa kipindi kifupi alichokaa pale. Ulitaka afanye nini?

7. Ni kampuni hiyo ndio inaongoza kwa kuwa na waandishi wenye ueledi wa hali ya juu kama Msacky na Kibanda. Unataka afanye nini cha ziada?.

8. Bashe kila ijumaa anatoa sadaka wa wahitaji zaidi ya million 1mpaka 3, kama unataka kuthibitisha ijumaa pita pale Sinza kijiweni ushuhudie foleni. Unataka nini cha ziada?

9. Ni kampuni hiyo inayosomesha zaidi ya wanafunzi 400 Tanzania nzima, wengi wao wakiwa wakazi wa Nzenga wasio na uwezo wa kulipa ada. Unataka afanye nini cha ziada kama sio uji.nga wako na upumba.vu wako...

10. Leo hii Habari cop sio ile ya zamani. Amefanya ukarabati ofisi zote, eneo la nje, ukuta nk....

Utachafua watu wote lakini kamwe huwezi kumchafua Bashe, tena una bahati sana, ukiongea hayo maneno mbele ya vijana walahi utapata kipigo cha milele....

Jifunze kuifikirisha akili yako kwa upeo mpana, usituonyeshe kuwa una akili size ya kifaranga cha kuku, hufikirii mbali zaidi ya unapoona..tafuta sifa za kiongozi mzuri uwasaidie watu wa nzega kujua kiongozi mzr ni yupi, hata watz wngn..
 
aaaaaaah kumbeeeee ocampo four ndio weweee!

Daaaaah yaaani umejileta na kujiiingiza kingi mwenyewe!

Nilikuwa najiulizaga huyu ocampo four habar hizi anazitoa wapiii, kumbeeee sasa nimeeelewa vzr saana!

LAZIMA UKATWE KIDZAINI FULANI KAMA ALIVYOKATWA MZEE WAKO whitehair!
 
Wala sio mimi Mkuu..... Niko Dar na Bashe mwenyewe yuko Nzega kwa sasa....... Nimeamua tu kuweka rekodi sahihi kuhusu huyo Mtu....
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa mtu anaamini siasa za kujikomba,maslahi binafsi mbele,na kuhongo ili kununua uongozi ni dhahiri Bwana Bashe ni mtu wmenye sifa hizo.

Tangu mwanzo wa harakati zake za kuyatafuta madaraka hajawahi kuacha hira na mbinu zote za hovyo ili aweze kukidhi matakwa yake.Mnamo 2010, alishiriki kuwania jimbo la Nzega na Bwana Lukas Seleri na kufanikiwa kuhonga wajumbe wote katika mchakato wa kura za maoni, na kwa msaada mkubwa wa Godfather akafanikiwa kumshinda kwa rushwa Seleri bahati nzuri Mwenyekiti wa chama alitumia turufu yake vizuri.

Sasa anajipambanua kwamba atawasaidia wananzega kuonda kero zao, ikiwa yeye ndio mtendaji mkuu wa Habari Corporation ya Rostam Aziz. Wafanyakazi wengi wanayo malalamiko mengi dhidi yake,wanadhulumiwa haki zao nyingi sana ikiwemo na mafao yao ya NSSF kutopelekwa kunako husika pamoja na kuonekana kukatwa kila mwezi.

Mikataba ya wafanyakazi limekuwa jambo sugu, wafanyakazi wengi hawana mikataba ya kazi wanaishi kama vibarua, wanaodai haki zao huishia kufukuzwa ama kutishiwa kufukuzwa.

Yeye muda mwingi anashughulika na harakati zake za kifisadi kule Morogoro ambapo makato yetu ya mifuko ya hifadhi anapeleka kuwekeza kule Morogoro anakomiliki mashamba ya mifugo na kilimo.

Asipokatwa mapema anaweza kushinda kwa nguvu ya pesa za akina Rostam na akiingia bungeni ataendeleza uhasi alioisha uanza siku nyingi na atageuka mpinzani ndani ya chama.

Akatwe!

atakatwa tu,kwani
 
huseni bashe hatari, kamkalia bwana edo kama ni babake
enl.jpg
 
Kama aliyekuja ni wa Habari Maelezo basi uko sahihi, na sina comment.... Ila kumbuka Bashe ni CEO wa Habari Cop na sio Habari Maelezo.... Hayo ya Habari Maelezo anayajua Asser Mwambene

Umemshika pabaya...anatamani a-edit comment
 
Asimame wapi? hana lolote..cjui watz wana matatizo gani, mtu hawezi kabisa kugundua km anachoandika ni ujinga..wanawaza kuwapa dhamana ya uongozi watu mufilisi kabisa, eti kwa vigezo anasaidia kuwapa vijana cjui mitaji, cjui sadaka, yaani hizo ndio sifa za kuwa kiongozi, cjui kusomesha watoto shule..upumbavu kabisa, mtu wa hivyo si aombe kazi red cross au c aende akahudumie wakimbizi dadabu au kigoma..

Kwahiyo yule asietoa msaada kwenye jamii ndio anafaa kuwa kiongozi sio..???
 
bashe harakati zake zitaishia nzega. dodoma atakatwa tu kama bosi wake lowasa...
 
Safari hii sio rahisi akatwe Mkuu... Mambo yamebadilika sana...

haa haa hata kwa lowasa mlisema hivihivi. subiri jina lake lifike dodoma. kuna taarifa zisizo rasmi kwamba wafuasi wote wa lowasa na wale wabunge wakosoaji wa serikali bungeni watakatwa huko dodoma. time will tell.
 
huyo bwana mdogo hatari sana kwa kujikomba kwa viongozi

Angekuwa anajikomba leo hii angekuwa na cheo kikubwa sana ndani ya serikali hii. Ila kutokana na msimamo wake hasa kwa Edward alijikuta akifanyiwa mizengwe ya kila namna katika maisha yake ya uongozi na hata familia....

Angekuwa anajikomba wala asingethubutu kutofautiana na mtoto wa namba 1. Ambaye katumia muda wake mwingi kumuwekea mizengwe katika maisha yake ya siasa kuanzia kwenye ubunge mpaka U Nec..
 
Back
Top Bottom