Hussein Bashe: Ninaamini Mitazamo na Fikra za Lowassa!

sokoinei

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,832
566
Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa CCM,na Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Nzega,Hussein Mohamed Bashe, amesema kwamba yeye haitumiki na LOWASSA kama ambavyo imekua ikisemekana!

Akijibu swali aliloulizwa,ktk Kipindi kiitwacho MEDANI ZA SIASA na UCHUMI,kinachorushwa na kituo cha Start tv, alisema kwamba yeye hatumiki na Mh,LOWASSA bali yeye binafsi anaamini ktk Mitazamo na Fikra za LOWASSA ndio maana watu wanatafsiri hivyo!

Aliulizwa pia kwamba 2015 utafanyika Uchaguzi Mkuu, je anadhani ni Kiongozi gani anafaa kuwaongoza Watanzania? Akijibu alisema kwamba Watanzania wanamtaka mtu ambae atasimamia kile anacho kiamini na hata ukimtazama usoni na anachokisema utagundua ni kweli!

Mtangazaji anamuuliza, kuna Majina yanatajwa na kwamba hata ukimuuliza Mtoto mdogo anayajua! Mf, Mh,Bernard Membe, Mh Samwel Sitta, Mh, John Magufuli Mh, Edward LOWASSA, nk, je yeye ktk hao ni yupi anaona kwamba anafaa?

Akijibu alisema kwa Mh, LOWASSA ndie anaefaa na kwamba lazima CCM wafanye Uchaguzi wa ndani wa kumpata Mgombea kwa Uhuru na Haki ili kumpata mgombea anaekubalika na Watanzania wote, haswa Vijana kwa kua Uchaguzi ujao kutakua na ongezeko la Vijana Watakao jiandikisha zaidi ya Milioni 6. Na mtu huyo sio mwingine isipokua Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward LOWASSA!

Source: Start tv Medani za Siasa na Uchumi!
 
ni maoni yake sio ya watanzania wote
 
Huo utafiti ameufanya wapi na kuona huyo mtu anapendwa na vijana?

-Vijana wasomi tujadili.platform zitakazotoa wagombea bora na sio watu.Tanzania imefikia hapa kutokana na matumaini kuwekwa nyuma ya watu

-Aliibuka mtu 2005 na kujitangaza kuwa mgombea kijana anayependwa na vijana na kilichotokea kila mtu anajua maana juzi mtu huyo ameishia kulalamika kwamba kuna misikiti 3 imefikia hatua ya kumsomea itikafu ili afe.

-Mwl.Nyerere alishakataa baadhi ya watu na kuwauliza walikotoa hizo mali walizonazo.Hawakujieleza kwa ufasaha na hadi leo hawajatoa majibu huku wakikwepa mijadala ya aina hiyo na kujielekeza makanisani ambako hawawezi kuulizwa maswali

-Watu wasio na ujasiri wa kutaja mali zao hata ukiwaangalia usoni hutaona kingine zaidi ya hila na wizi wizi tu

-Vijana wa taifa hili wengi waliathirika na hali mbaya uchumi iliyosababishwa na ukosefu wa nishati ya umeme hivyo viwanda vingi vikashindwa kuajiri wafanyakazi na kufanya vijana wawe jobless huku serikali ikikosa mapato na kishindwa kutoa huduma za kijamii kama shule na hospitali ambazo waathirika wakubwa ni vijana na akina mama.

-Huyo anayetaka urais alisimamia mchakato tata wa RICHMOND na amechangia kuumiza vijana wa taifa hili

Kama mkataba mmoja tena nyeti ameshindwa kuusimamia ataweza kusimamia mikatiba zaidi ya 100 baina ya Serikali na serikali,serikali na makampuni ya ndani na nje?

-Hakuna mgombea bora anayewafaa vijana atakayeyokana na chama chenye mfumo mbovu kama CCM

Vijana hatutaruhusu aingie ikulu mtu mwenye rekodi. inayotiliwa shaka katika wizi na hila
 
Sarakasi:Riz Jamhuri,Bashe star tv

aeleza yeye ni mbunge wa mioyoni wa wananzega na sio wa Bungeni

asema hajawahi kushindwa kwenye uchaguzi,akumbushia alivyopata sifuri uchaguzi UVCCM japo alijipigia kura
mwaka 2005 kura za maoni alishika nafasi ya 3, Kingwangala ya 9

baada ya mgodi kufungwa hatutakubali kujengwa gereza badala ya chuo kama ilivyoahidiwa awali
 
Mimi siku zote huwa natamani sana CCM waweke mtu dizaini ya EL watu wachukue kijiti asubuhi na mapema kupitia masanduku.
 
Namkubali Dr slaa ila akienda magamba agombee urais tofauti na chama cha upìnzani hapati kura yangu..MTU YEYOTE ATAKAEGOMBEA URAIS KUPITIA MAGAMBA ATACHARAZWA KABLA HATA MATOKEO KAMILI KUTANGAZWA.
 
sio siri mkuu Dr Slaa ni chaguo la vijana wote hata mimi nakili sasa namkubali sana tena sana Dr Slaa na nipo tayali kwa lolote juu ya hilo kwa mujibu wa katiba ingawa mi sina chama nachoshabikia!
 
Huo utafiti ameufanya wapi na kuona huyo mtu anapendwa na vijana?

-Vijana wasomi tujadili.platform zitakazotoa wagombea bora na sio watu.Tanzania imefikia hapa kutokana na matumaini kuwekwa nyuma ya watu

-Aliibuka mtu 2005 na kujitangaza kuwa mgombea kijana anayependwa na vijana na kilichotokea kila mtu anajua maana juzi mtu huyo ameishia kulalamika kwamba kuna misikiti 3 imefikia hatua ya kumsomea itikafu ili afe.

-Mwl.Nyerere alishakataa baadhi ya watu na kuwauliza walikotoa hizo mali walizonazo.Hawakujieleza kwa ufasaha na hadi leo hawajatoa majibu huku wakikwepa mijadala ya aina hiyo na kujielekezea matakoni ambako hawawezi kuulizwa maswali

-Watu wasio na ujasiri wa kutaja mali zao hata ukikingine zaidi ya hila na inzi inzi tu

-Vijana wa taifa hili wengi waliathirika na ukimwi, hali mbaya uchumi iliyosababiviwanda vingi vikashindwa kuajiri wafanyakazi na kufanya vijana wawe jobless huku serikali ikikosa mapato na kishindwa kutoa huduma za kijamii kama shule na hospitali ambazo muaathirika mkubwa ni mimi na akina mama.

-Huyo anayetaka urais alisimamia mchakato tata wa RICHMOND na amechangia kuniumiza mimi kijana wa taifa hili

Kama mkataba mmoja tena nyeti ameshindwa kuusimamia ataweza kusimamia mikatiba zaidi ya 100 baina ya Serikali na serikali,serikali na makampuni ya ndani na nje?

-Hakuna mgombea bora anayewafaa vijana zaidi ya Z.

Vijana hatutaruhusu aingie ikulu mtu mwenye mvi. inayotiliwa shaka katika wizi na hila

A.K.A Kiru.............ndani ya C D M
 
Huo utafiti ameufanya wapi na kuona huyo mtu anapendwa na vijana?

-Vijana wasomi tujadili.platform zitakazotoa wagombea bora na sio watu.Tanzania imefikia hapa kutokana na matumaini kuwekwa nyuma ya watu

-Aliibuka mtu 2005 na kujitangaza kuwa mgombea kijana anayependwa na vijana na kilichotokea kila mtu anajua maana juzi mtu huyo ameishia kulalamika kwamba kuna misikiti 3 imefikia hatua ya kumsomea itikafu ili afe.

-Mwl.Nyerere alishakataa baadhi ya watu na kuwauliza walikotoa hizo mali walizonazo.Hawakujieleza kwa ufasaha na hadi leo hawajatoa majibu huku wakikwepa mijadala ya aina hiyo na kujielekeza makanisani ambako hawawezi kuulizwa maswali

-Watu wasio na ujasiri wa kutaja mali zao hata ukiwaangalia usoni hutaona kingine zaidi ya hila na wizi wizi tu

-Vijana wa taifa hili wengi waliathirika na hali mbaya uchumi iliyosababishwa na ukosefu wa nishati ya umeme hivyo viwanda vingi vikashindwa kuajiri wafanyakazi na kufanya vijana wawe jobless huku serikali ikikosa mapato na kishindwa kutoa huduma za kijamii kama shule na hospitali ambazo waathirika wakubwa ni vijana na akina mama.

-Huyo anayetaka urais alisimamia mchakato tata wa RICHMOND na amechangia kuumiza vijana wa taifa hili

Kama mkataba mmoja tena nyeti ameshindwa kuusimamia ataweza kusimamia mikatiba zaidi ya 100 baina ya Serikali na serikali,serikali na makampuni ya ndani na nje?

-Hakuna mgombea bora anayewafaa vijana atakayeyokana na chama chenye mfumo mbovu kama CCM

Vijana hatutaruhusu aingie ikulu mtu mwenye rekodi. inayotiliwa shaka katika wizi na hila

Hivi ndio............... Chenyewe au macho yangu
 
ni maoni yake sio ya watanzania wote

huyu bashe sijui kaahidiwa nini na lowasa akiwa rais make anavyoongea atazani yeye kabeba mawazo yote ya watanzania aende huko na lowasa wake si tunataka rais safi siyo rais mchafu.
 
A.K.A mzee wa richmonduli aka mzee wa benmaembetama+malawi,mzee wa six , dr. The next presida of urt.Over.
 
Ukimlinganisha na huyu aliyepo, EL ni mara 100 anaweza kusimama na kufanya maamuzi ya kiume.Si mtu wa kuhongwa suti tano ili auze nchi.
 
Huo utafiti ameufanya wapi na kuona huyo mtu anapendwa na vijana?

-Vijana wasomi tujadili.platform zitakazotoa wagombea bora na sio watu.Tanzania imefikia hapa kutokana na matumaini kuwekwa nyuma ya watu

-Aliibuka mtu 2005 na kujitangaza kuwa mgombea kijana anayependwa na vijana na kilichotokea kila mtu anajua maana juzi mtu huyo ameishia kulalamika kwamba kuna misikiti 3 imefikia hatua ya kumsomea itikafu ili afe.

-Mwl.Nyerere alishakataa baadhi ya watu na kuwauliza walikotoa hizo mali walizonazo.Hawakujieleza kwa ufasaha na hadi leo hawajatoa majibu huku wakikwepa mijadala ya aina hiyo na kujielekeza makanisani ambako hawawezi kuulizwa maswali

-Watu wasio na ujasiri wa kutaja mali zao hata ukiwaangalia usoni hutaona kingine zaidi ya hila na wizi wizi tu

-Vijana wa taifa hili wengi waliathirika na hali mbaya uchumi iliyosababishwa na ukosefu wa nishati ya umeme hivyo viwanda vingi vikashindwa kuajiri wafanyakazi na kufanya vijana wawe jobless huku serikali ikikosa mapato na kishindwa kutoa huduma za kijamii kama shule na hospitali ambazo waathirika wakubwa ni vijana na akina mama.

-Huyo anayetaka urais alisimamia mchakato tata wa RICHMOND na amechangia kuumiza vijana wa taifa hili

Kama mkataba mmoja tena nyeti ameshindwa kuusimamia ataweza kusimamia mikatiba zaidi ya 100 baina ya Serikali na serikali,serikali na makampuni ya ndani na nje?

-Hakuna mgombea bora anayewafaa vijana atakayeyokana na chama chenye mfumo mbovu kama CCM

Vijana hatutaruhusu aingie ikulu mtu mwenye rekodi. inayotiliwa shaka katika wizi na hila

Kati ya Lowassa na Zitto bora nani ikitokea Slaa akaamua kutogombea au chama kikaamua Zitto agombee?
 
huyu bashe sijui kaahidiwa nini na lowasa akiwa rais make anavyoongea atazani yeye kabeba mawazo yote ya watanzania aende huko na lowasa wake si tunataka rais safi siyo rais mchafu.
Acha Uoga kila mtu kwenye CCM ana mgombea wake tofauti yao ni Ujasiri wa kuweka wazi mawazo yao, Bashe anajiamini ndo maana kaweka wazi mawazo yake yajulikane!
 
Halafu we mbona ndio umejunga leo? Umetumwa au ni utashi wako umekuleta jamvini au hii ndio ID yako ya tano hapa JF?
Anyway ngoja nisikushambulie niende moja kwa moja kuishambulia hoja uliyoiwasilisha.

Kwa sababu kama Mungu angehesabu maovu hakuna ambaye angesimama; Lowassa an aweza kutubu kwa waTanzania na akasamehewa na kuendelea kutoa sadaka za shukrani. Ila namshauri kama atatubu ahame CCM aende hata CHADEMA maana kama atajuwa msafi kama theluji baada ya Toba nadhani watampokea tu maana hata baadhi ya wana CHADEMA walikuwa na dhambi za kisiasa kama ambazo jamii yetu inaona kuwa Lowassa anazo.
 
Back
Top Bottom