Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Kati ya Lowassa na Zitto bora nani ikitokea Slaa akaamua kutogombea au chama kikaamua Zitto agombee?
This is absurd...sijadili watu.Najadili platform.
Kati ya Lowassa na Zitto bora nani ikitokea Slaa akaamua kutogombea au chama kikaamua Zitto agombee?
Kati ya Lowassa na Zitto bora nani ikitokea Slaa akaamua kutogombea au chama kikaamua Zitto agombee?
Nadhani huna Mamlaka kuniuliza kwamba mbona nimejiunga leo,na Nimeileta hii habari!Halafu we mbona ndio umejunga leo? Umetumwa au ni utashi wako umekuleta jamvini au hii ndio ID yako ya tano hapa JF?
Anyway ngoja nisikushambulie niende moja kwa moja kuishambulia hoja uliyoiwasilisha.
Kwa sababu kama Mungu angehesabu maovu hakuna ambaye angesimama; Lowassa an aweza kutubu kwa waTanzania na akasamehewa na kuendelea kutoa sadaka za shukrani. Ila namshauri kama atatubu ahame CCM aende hata CHADEMA maana kama atajuwa msafi kama theluji baada ya Toba nadhani watampokea tu maana hata baadhi ya wana CHADEMA walikuwa na dhambi za kisiasa kama ambazo jamii yetu inaona kuwa Lowassa anazo.
CCM HAIKUBALIKI TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA!!
lowasa ni kama ameloga watz, hivi hakuna mtu mwingine kati ya watanzania m44m ?
Huo utafiti ameufanya wapi na kuona huyo mtu anapendwa na vijana?
-Vijana wasomi tujadili.platform zitakazotoa wagombea bora na sio watu.Tanzania imefikia hapa kutokana na matumaini kuwekwa nyuma ya watu
-Aliibuka mtu 2005 na kujitangaza kuwa mgombea kijana anayependwa na vijana na kilichotokea kila mtu anajua maana juzi mtu huyo ameishia kulalamika kwamba kuna misikiti 3 imefikia hatua ya kumsomea itikafu ili afe.
-Mwl.Nyerere alishakataa baadhi ya watu na kuwauliza walikotoa hizo mali walizonazo.Hawakujieleza kwa ufasaha na hadi leo hawajatoa majibu huku wakikwepa mijadala ya aina hiyo na kujielekeza makanisani ambako hawawezi kuulizwa maswali
-Watu wasio na ujasiri wa kutaja mali zao hata ukiwaangalia usoni hutaona kingine zaidi ya hila na wizi wizi tu
-Vijana wa taifa hili wengi waliathirika na hali mbaya uchumi iliyosababishwa na ukosefu wa nishati ya umeme hivyo viwanda vingi vikashindwa kuajiri wafanyakazi na kufanya vijana wawe jobless huku serikali ikikosa mapato na kishindwa kutoa huduma za kijamii kama shule na hospitali ambazo waathirika wakubwa ni vijana na akina mama.
-Huyo anayetaka urais alisimamia mchakato tata wa RICHMOND na amechangia kuumiza vijana wa taifa hili
Kama mkataba mmoja tena nyeti ameshindwa kuusimamia ataweza kusimamia mikatiba zaidi ya 100 baina ya Serikali na serikali,serikali na makampuni ya ndani na nje?
-Hakuna mgombea bora anayewafaa vijana atakayeyokana na chama chenye mfumo mbovu kama CCM
Vijana hatutaruhusu aingie ikulu mtu mwenye rekodi. inayotiliwa shaka katika wizi na hila
It is too late kumzuia Edward Lowassa kuingia pale Magogoni. Anahesabu miezi tu sasa. Wasiompenda waanze kutafuta maneno ya kujifariji.
personally naipenda sana chadema!Huo utafiti ameufanya wapi na kuona huyo mtu anapendwa na vijana?