Hussein Bashe: Nimekunwa na nyaraka za Tundu Lissu

Kwani unoma wa lidu hapa uko wapi, hakuna jipya alilofanya isipokuwa kubeba maonibya tume mbalimbali na kuanza kisoma bungeni, ili akamilishe ujinga wake wa kutetea wageni. Haya sasa wamekuja wenyewe kuomba radhi Mwambie Lisu awashauri waende mahakamani. Inawezekana lisu siyo mtanzania ni mjaluo huyu hata rafidhi yake siyo ya kinyatulu kabisa.
Hapa ndipo akiliccm zinapotambulika na tunafahamu kwanini tumefika hapa tulipo!!! Mikataba iliingiwa na CCM leo wanajisahaulisha as if ni Mh. Tundu Lissu ndiye aliyeipitisha kwa hati ya dharula!!!Hivi kwanini hati ya dharula iliyopitisha sheria ya migodi inapitishwa wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni? Kwanini katika hiyo migodi ya wezi wamewekewa ulinzi na serikali? au ni Tundu Lissu ndiye aliyepeleka huo ulinzi wa Polisi Migodini? Muwe mnafikiri kwanza kabla ya "kusema" Hivi kwanini mnatuona watanzania hatuna akili?
 
Wakikujibu mkuu nitag
 
Hivi wabunge wanakwenda Dodoma kwa gharama ya walipa kodi kwenda kushangilia dili za madini kupita wakigonga meza?
Ndicho kinachotetewa bila kujali kwamba walipa kodi si wote ni wa chama kile kitetezi cha wezi kilichohujumu nchi toka uhuru hata sasa! Lakini watu wanajisahaulisha kana kwamba haya ni mambo mapya hayajawahi kuwepo!!!
 
Hali itabadilika tukipata wabunge wengi zaidi wa upinzani
 
Hata JPM naye alisema kwamba zamani alikuwa anawatetea wananchi ila sasa hv amebadilika
 
Kuna wabhnge wanayabishia maandiko ya Lisu bila hata kuyasoma....utakuta mtu anabisha tuu hata hajui mwenzie kaongelea nn...kwa hili Bashe nampongeza maana alikuwa na uwezo hata ya kubisha sababu amesoma maandiko#
 
Tutashitakiwa na kulipa hela nyingi sana bwahahahahahaha
unakatika kushangilia kuwa tutakaa chini tuangalie resolution ambayo ni win win lkn bila kwako ww ni kuwa umeshashinda ! Hii ni step moja tu ngoma bado mbichi,maana wakikomaa sheria na mikataba waliosaini inasemaje basi game imeishana next level ni mahakama ya usuluhishi ambayo wanaangalia sheria na mikataba na sio ngonjera zenu za kibashite !!
 
Back
Top Bottom