Husninyo Pokea Proposal


Proposal ishakataliwa ndo unaomc radh? Umeonesha dharau kubwa sana kwa Mlez wa Husninyo. Haufai.
 
Mie sijivungi
kama boda boda, nikiona hawaji nawasaka mwenyewe.

Huyu Ricky atamwagiwa tindikali muda si mrefu.
Kongosho nahisi wewe ni Mwenyekiti wa kamati coz naona unatetea sana hii ndoa iwepo...
Kama ushafana maandalizi waiteni watoto wa mitaani waje wale mamisosi coz ndoa sidhani km itakuwepo...
kwanza bwana harusi ameonekana na kabinti wanatakatiza mitaa fulani
Lol
 
Hehehe!vitambi havikubali kwangu!cha msingi ni ile pua kunenepa tu na kuendelea kunipa raha!papa rejao mme wangu anakupa hi nyingi bado anatafuna kitumbua chake kwa raha zake lol!odm hajambo?
My waif,
Umefika humu saa ngapi? mi nipo nakusubiria utoke kanisani kumbe tayari ushatia maguu humu!
 
tafuta hata chochote
mie wifi ntakufichia siri
ila ukibambwa tusijuane


Tena wee 'wifi' nuksi aisee
Unataka niingie mkenge kisha unikane?
Pole kitanda ulicholalia niliamkia hapo na kunguni wake nawajua
MSUKUMA for life.............
 
Nyie c ndo walewale mapepe mliochangia kuharbu ndoa yake na Uporoto ksha mka m kuwadia kwa JG.

hehehe!naona umesahau km uporoto ndio alianza kwa kumtokea kabakabana tena na husni akiwepo,mapepe huwa hawaolewi lkn sie kwetu kila cku ndoa tu tena na wanaume kwa ukweli!achen majungu wenzenu weshapendana nyie huku mijasho inawatoka kutia fitna wataona tu na mpaka mtashangaa!hv ww bado mjane tu mpaka leo?
 
Tena wee 'wifi' nuksi aisee
Unataka niingie mkenge kisha unikane?
Pole kitanda ulicholalia niliamkia hapo na kunguni wake nawajua
MSUKUMA for life.............
Maneno yote hayo ya nini bht? Si umwambie tu HUDANGANYIKI.... Chezeiya mawifi wewe?...atakuruka kama hakujui vile lol.
 

We mi nimeoa ila nlikupa napga ndondo kwa Husninyo na alikuwa ananikosha. Ctak aolewe na JG coz hatakuwa huru kuja kwangu kwa ajili ya out work. C unajua jnc JG anabana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…