Hahaha, biharusi ndio kwanza anawekewa kope za bandia, lol...Halaf hapa ndo kwanza hata mahalusi hawajahuzuria. Dah!
Dah! acha nirekebishe, unajua jina lako nililiwekea autosaved sasa kumbe spelling wrong. Mtoto mzuri kama wewe lazima uwekwe autosaved banahalafu wewe lawyer hebu usiniharibie jina,mara ya 3 hii naona unaandika maajabu
Amyner iko naye naye hapa Mbalamwezi
Lol....... bwanahalusi anajipima suti la kofi olomideHahaha, biharusi ndio kwanza anawekewa kope za bandia, lol...
Kweli aiseee maana hata maharusi wakija hawatajua wapi waanzie...lolMi naona ianzishwe nyingine yenye kichwa cha habari '' maandalizi ya harusi ya Husninyo''
Hehehe! Ahsante switie, nimeamini 'kama kweli unampenda utamlinda na fataki klorokwini'..Sweetylady naomba usimtaje tena kwenye kinywa chako plz pamoja na uanasheria wako nitakufunga
We ni mlinzi na Amy hana hadhi ya chini kiasi cha kuwa na wewe
Hahaha! Alivomwembamba kama avatar ya fidel litamtosha kweli?Lol....... bwanahalusi anajipima suti la kofi olomide
Dah! acha nirekebishe, unajua jina lako nililiwekea autosaved sasa kumbe spelling wrong. Mtoto mzuri kama wewe lazima uwekwe autosaved bana
Afu nyie komeni kumnyanyasa Erick....kwanini mwamendea vya watu lakini?braza puuuuu!hilo anguko la aibu!..hujui huyu ndo mtei mwenye yale mabasi yakwenda moshi arusha mpaka karatu...lol...amyner hataki shida asee!
Hehehe! Ahsante switie, nimeamini 'kama kweli unampenda utamlinda na fataki klorokwini'..
Unajua Mtei anatafuta balaa we mwache tuHee yamekuwa hayo tena? Mbona mnachukuliana wake hivi hivi waziwazi?
braza puuuuu!hilo anguko la aibu!..hujui huyu ndo mtei mwenye yale mabasi yakwenda moshi arusha mpaka karatu...lol...amyner hataki shida asee!
Hata mfanyaje Amy haniachi na hana wazo la kuwa na mwanaume waruwaru kama wewe na Mtei....braza puuuuu!hilo anguko la aibu!..hujui huyu ndo mtei mwenye yale mabasi yakwenda moshi arusha mpaka karatu...lol...amyner hataki shida asee!
Nitty inabidi tufanye mkakati unaoitwa 'Linda usalama wa Amy na SweetLady' hata ikibidi kuwaajiri Klorokwini na Uporoto itakuwa sawa tuUjue sio powa kuchukuliana wake basi kama mchezo wenyewe ndio huu ole wake mtu amguse Sweetylady
Relax honey, hapa hata waje na greda hachukuliwi mtu...mie pia niliapa mbele ya umati...Ujue sio powa kuchukuliana wake basi kama mchezo wenyewe ndio huu ole wake mtu amguse Sweetylady
Hata mfanyaje Amy haniachi na hana wazo la kuwa na mwanaume waruwaru kama wewe na Mtei....
Hebu nipisheni huko...mmejaa majungu tu.... mtasutwa wanaume suruari nyie lol hamna hata haya....waone kwanza
Nitty inabidi tufanye mkakati unaoitwa 'Linda usalama wa Amy na SweetLady' hata ikibidi kuwaajiri Klorokwini na Uporoto itakuwa sawa tu
Bora umfundishe manake anatia huruma sana...Mwanaume hashindani kwa maneno bali kwa vitendo, chukua mkeo weka ndani utakae muona anamzengea mpinge na bapa la upanga akaugulie mbele
Hahahaaaa kumbe unajienda eehHahaha! Kabakabana kaapa nikifa kabla yake atakuwa mjane mpaka muda wake ufike nami pia mimeapa hivyo,mtasubiri sana hapa no vacancy lol!