Husninyo Pokea Proposal

Hili sredi ukiondoka sekunde tu ukilejea imekula kwako.
Enhee nani mwengine kanidondokea baada ya kabanakabana, cantalisia na sweetlady? endeleeni kufunguka wadada, mkiwezeshwa mnaweza tu
 
Umeonae? We uliona wapi sredi ianzishwe leo sahizi iko pg 37? Mie hapa sibanduki tena!..
 
Hili sredi ukiondoka sekunde tu ukilejea imekula kwako.
Enhee nani mwengine kanidondokea baada ya kabanakabana, cantalisia na sweetlady? endeleeni kufunguka wadada, mkiwezeshwa mnaweza tu

Sweetylady naomba usimtaje tena kwenye kinywa chako plz pamoja na uanasheria wako nitakufunga
 
Huoni Mtei anavyokufanyia ngoja nimwite Amyner kwanza
Huyu Mtei nahisi katumwa....ngoja nimwite Popobawa aje afanye mambo yake faster maana naona ndo dawa pekee iliyobakia kwa Mtei
 
Hahahaaaa kweli aisee yan unakuta page zimeongezeka mpaka hujui wapi uanzie
Lol
Iko juu sana

Mi naona ianzishwe nyingine yenye kichwa cha habari '' maandalizi ya harusi ya Husninyo''
 
Sweetylady naomba usimtaje tena kwenye kinywa chako plz pamoja na uanasheria wako nitakufunga
Nitonye kwa mikwala bana! Hivi unajua bila mimi Tanzania haiwezi kupewa misaada na UN?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…