Husninyo Pokea Proposal

Hii harusi mimi sihudhirii hata kidogo
Kwanini usije?
Nawewe ni kama Mtei na Katavi?
Namaanisha wao walitangaza live sababu ya kuinga ndoa hii kuwa walimtaka Husny ila wakagonga mwamba.sasa wewe tatizo nini??
 
Kwanini usije?
Nawewe ni kama Mtei na Katavi?
Namaanisha wao walitangaza live sababu ya kuinga ndoa hii kuwa walimtaka Husny ila wakagonga mwamba.sasa wewe tatizo nini??

We dogo vp? Mi nimesema kuwa nitahudhuria ila ctak kamat walonipangia
 
Pole Dear,

Kama ni karibu nenda kamuone.
Sio karibu kivile kongosho, natamani ningeweza kwenda sahizi.....ni mpaka kesho asubuhi.. Wamemchukua kumpeleka hospital jioni hii, nimeshtuka na kuogopa sana... Inaniuma!

Sante sana konnie.!.....
 
Halafu hata kwenye avatal yako unaonekana kama uko vizuri kwenye hii kamati ya Ulinzi wala usijali utakuwa na wengine tu wengi

Hapana. Hakuna k2 kama hcho. Niko njian na Amyner 2naenda Mbalamwezi
 
swahiba pole sana, pole mno. Ngoja niongee na husband tukuMPESA kamilioni.
 
Sio karibu kivile kongosho, natamani ningeweza kwenda sahizi.....ni mpaka kesho asubuhi.. Wamemchukua kumpeleka hospital jioni hii, nimeshtuka na kuogopa sana... Inaniuma!

Sante sana konnie.!.....

Hali yake inaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…