Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Canta umesahau cover ya cmu yako
room kwangu. Mi natoka sa hv
naelekea site, ntaiacha pale dukani
kwa Mangi unapochukuaga funguo.
 
Hahahahahaaaaaaaa
Katavi hapa sitii neno
teh teh aiseee kumbe mpo wengi....
Lol teh
Itabidi muanzishe Chama Cha Wanaompenda Husninyo (CCWH)
na Mwenekiti uwe wewe, Msaidizi Mtei

Umekuja na wazo zuri sana, tena mlezi wa chama utakuwa wewe!
 
Husny ameni hakikishia kuwa outwork ztaendlea kuwepo.
Pia Amyner naye ameshaeleweka. Ndondo kama kawa.. Au na wewe unataka?

Tena ushindwe namkulegea maeneo yako ya kati lol!niko kwj fundi papa rejao mutu ya pesa mingi na mapnz ya milele nimetoshelezwa sihitaji smal houc!nataman asome andiko lako hapo akutie displin ebo!
 
Canta keshanipa habari zako we Erick. Rejao asipokuwa makini atalzwa. Unajdai kuita shemeji huku unkula kmyakmya. Hufai wewe.
Hebu nenda kaandae walinzi wenzako wa harusi acha kupiga majungu humu...unataka vibaka waibe maua ya bibi harusi?
 
ooh mpenzi, kwa sababu H=J na J=H naona uweke tu J ila wapambe nuksi wazidi kuumia. Halafu mwombe aunt msamaha kabla hajamwambia uncle. ujafata utaratibu mzuri wa kuchumbia

Poa mpenzi ,
kitulizo cha mtima wangu !
Kumbe ni Aunty ADI , nikidhani Mum ,
so nnshamuomba apology , basi pale nilipomuita Mama nafuta iwe Aunty.
Na mwambie kama kuna vijisenti alipewa na Uport , naomba aviorodheshe haraka nivilipe.
Utaratibu wa kuleta posa unafata
 
Tena ushindwe namkulegea maeneo yako ya kati lol!niko kwj fundi papa rejao mutu ya pesa mingi na mapnz ya milele nimetoshelezwa sihitaji smal houc!nataman asome andiko lako hapo akutie displin ebo!
Afadhali umwambie coz naona kahamishia majungu kwenye familia zetu...
Anatanga tanga tu hana uelekeo
 
Tena ushindwe namkulegea maeneo yako ya kati lol!niko kwj fundi papa rejao mutu ya pesa mingi na mapnz ya milele nimetoshelezwa sihitaji smal houc!nataman asome andiko lako hapo akutie displin ebo!

kama vle umenikubalia halafu unaona noma. Ucwe na woga we mdada.
 
Poa mpenzi ,
kitulizo cha mtima wangu !
Kumbe ni Aunty ADI , nikidhani Mum ,
so nnshamuomba apology , basi pale nilipomuita Mama nafuta iwe Aunty.
Na mwambie kama kuna vijisenti alipewa na Uport , naomba aviorodheshe haraka nivilipe.
Utaratibu wa kuleta posa unafata
Unapeleka posa kwa mke wa mtu?
 
Back
Top Bottom