klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
hehehe ulipotaja preta haka kamoyo kangu kameanza kudunda faster kama mbio za semenya. limbwata la JF bana. dah!nazani ma air hostes wote wako ka avatar ya preta uchi bin utupu
hehehe ulipotaja preta haka kamoyo kangu kameanza kudunda faster kama mbio za semenya. limbwata la JF bana. dah!nazani ma air hostes wote wako ka avatar ya preta uchi bin utupu
hehehe ulipotaja preta haka kamoyo kangu kameanza kudunda faster kama mbio za semenya. limbwata la JF bana. dah!
heheh mkuu naona adui unamuombea njaa. aflodenzi akilejea leo tutamwambia jamaa amepatwa na kwashakoo la gafla, pengine itasaidia.Aah mkubwa pole ya nini ni kumpotezea tu lol.
Hahaha! watu wanaogopa kuandamana siku hizi polisi hawatumii virungu wala mabomu ya machozi ni risasi tu.
hakuna shaka yoyote itakuwa limbwata la husninyo hilo, si unaona kaizer anataka kwenda dodoma kwa nauli ya kukopa? husninyo bana!mi nilipigwa limbwata ilikuwa ikiingia pm napata jasho la vidole halafu nacheka sielewi kwanini!
halaf machale yangu yananiambia uko pm na kaizer. akikuzaliliisha kijinsia usisite kunishtua. sawa sawa?
Ninae PM lazima kieleweke leo lol!heheh mkuu naona adui unamuombea njaa. aflodenzi akilejea leo tutamwambia jamaa amepatwa na kwashakoo la gafla, pengine itasaidia.
Wabongo waoga kufa angalia Tunisia wiki moja tu kimeeleweka.kudead kabla hatujatubu dhambi ndio tunaogopa ati.....
hakuna shaka yoyote itakuwa limbwata la husninyo hilo, si unaona kaizer anataka kwenda dodoma kwa nauli ya kukopa? husninyo bana!
sorry aisee, shetani amenipitikia. hivi nikuuliize. nikipigwa ban utanimiss?klorokwiniiiiiii!
Hapo umenizalilisha kijinsia.
hakuna shaka yoyote itakuwa limbwata la husninyo hilo, si unaona kaizer anataka kwenda dodoma kwa nauli ya kukopa? husninyo bana!
juzi kuna kadada nilikatumia pm eti kakanambia yeye hakatongozwi kwa kiswahili kanatongozwa kwa foreign language tu. khaaa! nikajua wadada wa kibongo midosho ya kumwaga. acha nianze evning klass banahuyo si ashakwambia pm yake giza totoro pm kazipanga kwa namba jf bana
juzi kuna kadada nilikatumia pm eti kakanambia yeye hakatongozwi kwa kiswahili kanatongozwa kwa foreign language tu. khaaa! nikajua wadada wa kibongo midosho ya kumwaga. acha nianze evning klass bana
ndo hako hako mkuu! kalinambia kakiskia halufu ya pafyum za tanzania shiling yeye kanatapika. acha tuishie hapa maana nazani kana uhusiano na mamods kale kabinti. tusije tukala ban mpaka easter sunday.ah! au ndo hako niliko katumia mimi? mi kaliandika tu neno bon voyage nikakambia mi siwekagi mafuta big bon nawekaga bp
halafu kakaandika i dont andastand mi nikakaambia mi sisimagi chini kwanza hayo matusi
Ni club ya maraha. Kila demu ukimuulizia kazi yake atakuambia yuko CBE. Ila nasikia wana bifu na mademu wa UDOMChieafMTz, inaonekana kweli ulipata tabu ila mi nitakupa uzoefu, nashukuru umenipa mwanga mwanga wa Dodoma....hapo club laaziz ndo wakienda na malaaziz wao?
ndo hako hako mkuu! kalinambia kakiskia halufu ya pafyum za tanzania shiling yeye kanatapika. acha tuishie hapa maana nazani kana uhusiano na mamods kale kabinti. tusije tukala ban mpaka easter sunday.
sorry aisee, shetani amenipitikia. hivi nikuuliize. nikipigwa ban utanimiss?
Hahaha! Pole sana mkuu zidisha juhudi utatoka tu mshikaji.juzi kuna kadada nilikatumia pm eti kakanambia yeye hakatongozwi kwa kiswahili kanatongozwa kwa foreign language tu. khaaa! nikajua wadada wa kibongo midosho ya kumwaga. acha nianze evning klass bana
nitakumiss sana kloro.
Kwanza nikiliona jina lako mi hoi. Nikisoma posts ndio kabisaa. Hebu fanya mpango utangulie wewe huyo kaizer atafata.
hii post imewatia wivu mpaka ma internet providers, yaani gafla wamenikatia inteneti connection. hapa natumia imejensi tu. nakuja bana huyu kaizer mpotezee tu, mwambie bunge limehairishwa.nitakumiss sana kloro.
Kwanza nikiliona jina lako mi hoi. Nikisoma posts ndio kabisaa. Hebu fanya mpango utangulie wewe huyo kaizer atafata.
asante ndugu muuliza suali. nazani blaza kaizer kaanzisha hili sredi ili kupata feeling ya husninyo ataipokeaje hii habari. husninyo akionesha kusmile tu kaizer anachinja. hapa itakuwa imekula kwetu wapinzani. na akionesha msimamo basi kaizer atabadilisha kibao na kusema anajoke tu hayuko serious. acha tusubirie part 2 ya hii sredi.:focus: hivi wewe kama dokta wa mahusiano jf unazani kwanini unazani braza kaizer kaleta hili li sredi la husninyo