Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Yaani humu JF kweli kuna mambo!!! yaani nimecheka na hii thread!! Thanks for making my night! Usku mwema kwa wale ambao ni usku kwao!
acha nikanunue raba mpya ya kuendea dodoma, yule aflodenzi malizana nae tu wewe na ze finest. am out of zat kompetishen bana.Klorokwini si nilisema haya ushatoka hivyo,spanish lady hoi taabani lol.
asante ndugu muuliza suali. nazani blaza kaizer kaanzisha hili sredi ili kupata feeling ya husninyo ataipokeaje hii habari. husninyo akionesha kusmile tu kaizer anachinja. hapa itakuwa imekula kwetu wapinzani. na akionesha msimamo basi kaizer atabadilisha kibao na kusema anajoke tu hayuko serious. acha tusubirie part 2 ya hii sredi.
hii post imewatia wivu mpaka ma internet providers, yaani gafla wamenikatia inteneti connection. hapa natumia imejensi tu. nakuja bana huyu kaizer mpotezee tu, mwambie bunge limehairishwa.
picha la kichina jeti lii anatembea juu ya maji
mmmh!
Wasije wakaunguza na hicho ki pc.
Kaizer nishampotezea kwanza nahisi kama babu yangu mjomba ake shangazi yake mama ake mdogo bibi.
halaf naskia kafanana na king majuto, mimi hautoregret kabisa yaani, hapa kijijini wananiita tom kruz.mmmh!
Wasije wakaunguza na hicho ki pc.
Kaizer nishampotezea kwanza nahisi kama babu yangu mjomba ake shangazi yake mama ake mdogo bibi.
mmmh! Hashycool mbona hivyo lakini?
hehe dah kamanda acha nilog out mida za kwenda kulinda mabanda ya kuku hizi. hili tatizo la wizi wa kuku vijijini linatunyima hata muda wa kuwapa mimba wake zetu. aaarggh. acha nikaombe uraia msumbiji bana.picha la kichina jeti lii anatembea juu ya maji
hehe dah kamanda acha nilog out mida za kwenda kulinda mabanda ya kuku hizi. hili tatizo la wizi wa kuku vijijini linatunyima hata muda wa kuwapa mimba wake zetu. aaarggh. acha nikaombe uraia msumbiji bana.
huyo anaitwa bamshamamdobi
am alejik tu ze mguno mmmh! suruali chini kwishney chapachapa
Tom kruz tena lol! unajuwa kwanini thanked zako zinazidi 40% ? ni kwasababu unatuchekesha sana hapa.halaf naskia kafanana na king majuto, mimi hautoregret kabisa yaani, hapa kijijini wananiita tom kruz.
oooh! Pandisha fasta fasta kabla sijakuchungulia.
Hus naomba kesho nikulipie internet cafe ili uweze kulipa deni lako la thanks hapa.oooh! Pandisha fasta fasta kabla sijakuchungulia.
Hus naomba kesho nikulipie internet cafe ili uweze kulipa deni lako la thanks hapa.
tooo little too late! naomba niongeze wingi wa pm zako
jamani kuna giza huko hadi nimeamua nijichange ninunue kijenereta.
niume sikio mie tu za kaizer ngapi?
haaa jamani.
Hamna hata moja. Hata ingekuwepo nisingesema. Si unajua tena mambo ya chumbani yanaishia chumbani.
Mbona una dadisi sana? Unanitisha ati.