Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

huelewi nini smiles?
Mwenzio natafutwa. Na wewe kama wanitafuta andika jina lako kwa kaizer. Nitashughulikia shida zenu kabla hamjaandamana.
Hahaha! watu wanaogopa kuandamana siku hizi polisi hawatumii virungu wala mabomu ya machozi ni risasi tu.
 
siamini nilichokisoma,hapa nimshirikishe ZD tuongeze maombi pope amepitiwa na anguko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom