Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaizer, Jan 17, 2011.

 1. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Kwako Husninyo,, umeugusa mtima wangu...nimehakikisha napata katrip ka kuja Idodomya, walau nikwepe kero za hapa DSM kidogo, so nakuja Idodomya!:A S thumbs_up:

  Huwezi amini furaha niliyo nayo hasa baada ya kusoma hapa


  nakuomba, kama Mwenyekiti, nike nikutembelee....niansalamu zako kutoka kwa Asprini, ameomba nirudi na kamchango, halikadhalika Teamo aminipa copy ya katiba yetu uipitie pitie....katibu kanipa fomu ya kujiunga natumai utaijaza

  kazi yangu mimi ni moja tu, umenigusa nikagusika naomba unikirimu nitakapofika huko hiyo kesho, nimeona umeshakuwa mwenyeji kidogo sasa! Nitapenda tukae sehemu tulivu, unielezee yaliyojiri huko.
  Mdhamini Bifirita atakuja baada ya hapo kufanya tathmini ya ziara yangu

  Niwaombeni ndugu zangu Kimey, Fidel80, The Finest, GY, Inkoskaaz, hashyool, ijapokuwa sharing is caring, hapa is a no go zone.:A S 27:

  Mhesshimiwa sana Ivuga nitarudi na mafotoz yenye taswira za huku., ila za Husninyo sitakukabidhi hata kidogo,

  Maria Roza nakutafutia kitu cha nguvu huku (U know what I mean) walau utulie safari hii!:coffee:

  Mpenzi wangu Nyamayo, nivumilie nitarudi mara na mihogo,
  MJ1 Love, Nitarudi na Yolanda yako ulontuma,
  Smiles, I will be back with lots of them smiles, and a lot more, bear with me
  Wiselady, mtumishi, nitakukuta mlimani endelea kuniombea!
  Rose80, hebu cheki na bacha kama bado anao mlenda kama sio nikuletee,
  Dena Amsi na AD.....poleni kwa yalowakuta, nitarudi na ushauri murua kutoka kwa Husninyo (namwaminia kwa hilo)

  babu DC, mzee wa busara Acid, mchungaji Masa na Mkewe Lizzy, nikirudi kiutu uzima will know what to do


  Kwa sasa ombi langu ni moja tu kwako Husna, nipokee tafadhali....nitaingia kwa tukutuku mida ya saa kumi jioni....asante kwa kunisikiliza....:hug::hug:
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Usisahau kuniletea nyama chafu ya pale Mbande, tafadhali na kuku toka Kibaigwa!!! By the way na ndoo ya nyanya pale Kandambili!!

  Yolanda hahahaaaaaaaaaa na cobra
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Karibu sana, ila naomba kujua jinsia yako...mmmh!
  Nahisi wewe ni kidume.. Uangalie lakini isije ikawa mimi mwanao. Maana jf bwana. Unaweza ukashangaa baba na mwana wanachati tena darling, hny mpenz kwa wingi. Lol!
   
 4. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mimi hapana elewa kabisa....................:boxing::boxing:
   
 5. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ish! Mbona Husninyo ameshatambaa kitambo. Mie nimempigia jalamba la kumpata mpaka nikachoka. Mwanzoni alisema kafikia Makole, nikatia timu bila ya mafanikio nikaishia kuibuka na mzigo wa CBE pale Club la Aziz. Nilipompigia kesho yake kasema yuko Hazina, ile kumtokea, nikaishia kukuta Basi la Kingkross likishusha Kambale kutoka Mtera. Nilipompigia tena akasema yuko Veyula karibu na Mnadani lakini jioni angekuwa Makulu na baadae UDOM. Kwa matumaini makubwa nilokuwa nayo, nikatinga UDOM nilikoishia kuambulia mkong.oto wa FFU. Sina hamu tena ya kumtafuta kwa kuwa nimepata taarifa za uhakika kuwa alikwenda Arusha. Sijui kama vurugu za CHADEMA zilimwacha salama.
   
 6. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dah....sasa hapa kale kakidude ka thanx sijui kameenda wapi.....
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Kaaaaaaaaazi kwelikweli!
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kamanda fika pale kwenye mjengo waambie tunataka katiba mpya kabla bongo haijageuzwa tunisia.
  bek to ze topik: dah!
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  hapo ndo panahusu thanks, umehisi kweli kuwa mimi ni Mwanaume,......sasa hapo kwa baba na mwana, sikumbuki kuwa na mtoto aliye Idodomya....waniandalia nini walau niwe na idea?
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  katafute bwana. Hebu mulika mulika vizuri.
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  ChieafMTz, inaonekana kweli ulipata tabu ila mi nitakupa uzoefu, nashukuru umenipa mwanga mwanga wa Dodoma....hapo club laaziz ndo wakienda na malaaziz wao?
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  akirudi kaizer nakuja mimi. nimetakiwa kuja kuhutubia kikao cha dodoma city kounsil kuhamasisha utumiaji wa kondom huko. nitakupa tarehe halisi end of zis week.
   
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Usijali MJ1, wewe kila usemalo kwangu ni amri tu, kinafuata utekelezaji......ila mbona hujaniagiza ugoro wa babu?
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  huelewi nini smiles?
  Mwenzio natafutwa. Na wewe kama wanitafuta andika jina lako kwa kaizer. Nitashughulikia shida zenu kabla hamjaandamana.
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  dah.....kiongozi ujumbe utafika, ila sina uhakika sana kama 'nitaachiwa' nifike mjengoni, kwa muda huo nitakaoukuwa huko, najijua udhaifu wangu mkuu:welcome:
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  chief mbona unaniharibia jamaniiii!!
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  now what is it Smiles....
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  hahahahaha hii sababu nyengine ya kuvunjika mbavu....haaa..ina maana wajamaa wako nyuma sana kwenye utumiaji wa kondom?
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  karibu sana. Usisahau kuniletea dozi ya klorokwin na sample ya condom.
   
 20. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Atakuandalia yaliyonikuta. Lol.
   
Loading...