KisakoKivuyo
Senior Member
- Mar 28, 2012
- 151
- 45
- Thread starter
- #21
that means shouldnt marry if they are not husband material
ndio maana siamini mambo ya husband material mimi, all men provided they are mentally sound marry..
that means shouldnt marry if they are not husband material
unajua the term 'husband material' isn't very common, utakubaliana nami lakini wife material is almost every man cup of tea... nimeshtuka mwenzenu kuitwa jina lisilozoewa kwenye jinsia yetu..
Huyu dada amekuona wewe ni duwanzi au mburula. Wanawake wanapenda wanaume ma mburula lakini wenye cash au muelekeo wa kupata cash. Hii ni kwasababu ukiwa mwanaume mburula demu anakupelekesha na kukugeuza jinsi atakavyo. Nakushauri uachane naye mara moja.
si ukubali kuwa lugha haipandi uelimishwe
si ukubali kuwa lugha haipandi uelimishwe
nyumba ndogo material ni housegirl au barmaid!
Yani wewe unaweza ukaua mtu ikitokea umekuwa mshauri unayetegemewa!
Ndo matatizo ya kuchumbiana wakati viwango vyenu vya elimu ni sawa na mlima na kichuguu. SS ndugu yetu kama ameshindwa kuelewa kitu kidogo kama hiki sijui wakioan na kukaa pamoja atatuuliza mangapi. SS kuna zile terminology za kitandani sijui kama hapo atamwelewa demu wake anamaanisha nn!!!!!!! Watu wengine mna bahati.
hakuna kibay alaichomwambia, infact kamweleza ukweli
eti husband material kiruuuuuuuuuuuuuu
Sina uhakika kama unajua unachokiuliza
Unaishi kwa mazoea?
Lakini pia naona lugha imekuchanganya
Ila inaonekana hata maana ya wife material hujui
Kama ungekuwa unajua usingefikiria na kuamua kuja hapa kuuliza hilo swali
Kwanini usingeuliza kwanza kabla ya kuja hapa?
Au kwanini usingemuuliza huyo anaekuita hivyo?
Sikulaumu kwa kutokujua maana ya Husband material ila nakulaumu kwa kutokufikiri kabla ya kuja hapa na kuuliza!!
umemaliza kila kitu kaka! well said!
mbona sioni alichomaliza!
unajua the term 'husband material' isn't very common, utakubaliana nami lakini wife material is almost every man cup of tea... nimeshtuka mwenzenu kuitwa jina lisilozoewa kwenye jinsia yetu..
ss km sio common ndo usielewe?
km unaelewa wyf material y usielewe husband material?
Yaani kwa akili ya kawaida umeshindwa kufikiri au kuweka vice versa?
u sim to be a bad guy...judging u kiharakaharaka