Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Ukikutana name mjeda aliyetoka kozi akikupiga shoo moja tu na mimba juu ila hii ni siri yenu alafu huwa wanapimwa kabla hawajaajiriwa kama nanii inafanya kazi vizuri ukikutwa mtarimbo umelala hauna sifa
 
Hujakaa kota za jeshi wewe hakuna watu malaya kama hao. Ila wewe ushafikisha idadi ya kukojolewa na watu wangapi hadi sasa?
Poleee sana nakuona unatafuta kiki kwa nguvu kupitia Demiss wallah sna muda mchafu na wewe
 
Kabisa yani hadi mwanamke anaona aibu wanavaa nguo nyeupe kuanzia boxa vest hadi mashuka ndani kwao huwez kuta pachafuchafu
Kwelii mm nimeonaa wanajeshi wanahitaji pongez kwa kweli kwa suala la usafi nawapa hongera hawapendi mambo ovyo ovyo
 
ananipigisha magoti au kubeba tofali mkonon..dadangu alinikuta na hyo adhabu!palinuka hatar!akanishika mkon tukaondoka toka siku hyo nikaserpa mazima ! alafu nipo nae mkoa m1 ..sina hamu kbs na wajeshi
Hahaaa!!!!! Mwisho wa siku angekuua mtoto wa watu,hebu njoo kwangu Mimi huwa sina mambo ya kishamba kama hayo,njoo kwangu tafadhali mpenzi mbitiyaza...
ananipigisha magoti au kubeba tofali mkonon..dadangu alinikuta na hyo adhabu!palinuka hatar!akanishika mkon tukaondoka toka siku hyo nikaserpa mazima ! alafu nipo nae mkoa m1 ..sina hamu kbs na wajeshi
 
Fanyeni vzr research zenu, msije kukurupuka kisa umeambiwa na jirani maana wanawake ukilibeba jambo sehemu unakimbilia kupost.
 
Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwasababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizuri kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupenda balaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa.

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.

View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jamani huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa. Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
ndo unamsema mshana Jr au?
 
Back
Top Bottom